The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
Mchezaji huyo mwenye miaka 32 aliingia dimbani mara 189 katika ligi hiyo katika kipindi cha miaka mitano aliyochezea klabu ya Manchester City. (Sky Sports)
Bibie mzima?Hatujambo,siku njema na kwako
Hatujambo mkuu pole na majukumuMakapuku hamjambo ,natumai wazima mnapambana na ukapuku ,napita kuwasalimia
Salama kabisa, pole na weweHatujambo mkuu pole na majukumu
Miss you to.Habari ya jioni wapendwa,miss you
Ss wazima tunaendelea kupambana.Makapuku hamjambo ,natumai wazima mnapambana na ukapuku ,napita kuwasalimia