Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
Screenshot_20181015-225211.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Aisee mulize binamu yako shunie atakueleza kama sikufanya mtihani wa darasa la NNE.

...acha maneno mengi, tuwekee cheti hapa kuwa ulifanya mtihani wa darasa la nne (Standard four)
 
Darasa LA nne kumbe wanatoa cheti?ngoja niende shule nikakichukue then nitaleta mrejesho.

...ha hahahahhaa, ukikipata na mimi nitaenda nikakifuate changu maana somo la Sayansi Kimu ndo nilikuwa nalipenda nilifundishwa na wale walimu wasichawasichana wanaokuja kufanya mafunzo (BTP) na mimi nilianza shule mkubwa tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom