ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Abeee
Abeee
Wee dada ukifa sasa mi ntasemelea kwa nani jaman![]()
mekumiss jamani
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mekumiss jamani
Hivi nan alikuteka
Na namba ya binamu Obe ulimtumia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Halafu tumepata binamu mwinfine anaitwa Behaviourist
Ooh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mekumiss jamani
Hivi nan alikuteka
Na namba ya binamu Obe ulimtumia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Halafu tumepata binamu mwinfine anaitwa Behaviourist



sikutekwa mwee
AmeenKwa ajili yako sikufi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ai ankoo...namba nilitumiwa lakini majanga niliyokutana nayo kwenye hiyo namba hata ungekuwa mlokole ungesalimu amri. Ni namba ya mganga kutoka Nigeria



Ooooh wasije kugeuza msukule binamu...namba nilitumiwa lakini majanga niliyokutana nayo kwenye hiyo namba hata ungekuwa mlokole ungesalimu amri. Ni namba ya mganga kutoka Nigeria
Binamu Behaviourist huyu ABJ ni mdogo wngu kabisaOohsikutekwa mwee
Hahahah nilimpa kafurahijee
Ahaa kumbe kuna binamu mwingine nitambulishe basi anitambue![]()
naomba umtambueOoooh wasije kugeuza msukule binamu
Nakupenda mno binamu ww unajua hlo....ndo maana nasemaga ni wewe peke yako humu ndo unanijali kwenye mambo ya msingi, sasa wangenigeuza msukule sijui ningewezaje kuingia humu
