Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Akili za anko hizoMmmmmm....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aliyekuambia upige nani akati hiyo namba ni spesho kwa ankoMbona anapokea mwanaume sasa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aliyekuambia upige nani akati hiyo namba ni spesho kwa anko
Kweli kabisa na haya mambo yanamtokea anko wangu Obe mzee ya totoz kulala anasaka waremboMATOKEO YA KUKOSA USINGIZI
MATOKEO YA MUDA MFUPI
[emoji830] Kusinzia
[emoji830] Hisia zinazobadilika- badilika
[emoji830] Kusahau mambo kwa muda mfupi
[emoji830] Kushindwa kupanga mambo na kuyatimiza
[emoji830] Kutokuwa makini
Duuuh nakupataaKULALA KIDOGO MCHANA
Je, umewahi kulemewa na usingizi baada ya chakula cha mchana? Hiyo haimaanishi kwamba hukulala vyakutosha. Ni kawaida kusinzia wakati wa mchana kwa sababu joto la mwili hupungua wakati huo.
Kwa kuongezea, hivi majuzi wanasayansi wamegundua kwamba kuna protini inayoitwa hypocretin, au orexin,inayotengenezwa na ubongo ambayo hutusaidia kuwa macho. Kuna uhusiano gani kati ya hypocretin na chakula?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Tunapokula, mwili hutengeneza homoni inayoitwa leptin ambayo hutufanya tuhisi tumeshiba. Lakini homoni hiyo huzuia utengenezaji wa hypocretin.
Yaani, kadirileptin inavyokuwa nyingi kwenye ubongo, ndivyo hypocretin inavyopungua na tunahisi usingizi zaidi. Labda hiyo ndiyo sababu katika nchi fulani watu hulala kidogo baada ya kula chakula cha mchana.
Shkamooni wana kapuku jamani...niliwamis mno
Anko binamu namba yangu hiyo 0764202013@Obe
Mbona anapokea mwanaume sasa?
Akili za anko hizo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aliyekuambia upige nani akati hiyo namba ni spesho kwa anko
KULALA KIDOGO MCHANA
Je, umewahi kulemewa na usingizi baada ya chakula cha mchana? Hiyo haimaanishi kwamba hukulala vyakutosha. Ni kawaida kusinzia wakati wa mchana kwa sababu joto la mwili hupungua wakati huo.
Kwa kuongezea, hivi majuzi wanasayansi wamegundua kwamba kuna protini inayoitwa hypocretin, au orexin,inayotengenezwa na ubongo ambayo hutusaidia kuwa macho. Kuna uhusiano gani kati ya hypocretin na chakula?
Tunapokula, mwili hutengeneza homoni inayoitwa leptin ambayo hutufanya tuhisi tumeshiba. Lakini homoni hiyo huzuia utengenezaji wa hypocretin.
Yaani, kadirileptin inavyokuwa nyingi kwenye ubongo, ndivyo hypocretin inavyopungua na tunahisi usingizi zaidi. Labda hiyo ndiyo sababu katika nchi fulani watu hulala kidogo baada ya kula chakula cha mchana.
Duuuh nakupataa