Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
Screenshot_20181010-081005.jpeg
Screenshot_20181010-081022.jpeg
 
Ameen
TUOMBE:Baba katika jina la. Yesu Kristo Asante kwa kutuamsha salama leo Jumatano tarehe 10 Oktoba 2018..Tunakushukuru Tunaomba toba kwa yote tuliyoenda kunyume na mapenzi yako, kwa mawazo ,maneno na matendo uturehemu twakusihi.Siku ya leo Tunaomba Roho Mtakatifu akae nasi atuongoze ,atufundishe ,atupe nguvu ya kushinda vikwazo vyote.Tunaomba kibali kwa kila tunalopitia uwe pamoja nasi Bariki kila kazi halali ya mikono yetu,walinde watoto wetu na wajukuu wetu roho za wizi wa watoto ishindwe katika jina la Yesu Kristo na watoto wote walioibiwa wawe salama mwili na roho na warudi katika familia zao.Bariki wasafiri nchi kavu,majini,angani ..watie nguvu wafiwa wote,wajane,yatima wape matumaini.Bariki kuingia na kutoka kwetu simama nasi tusonge mbele kwa imani kuu.
Tunaomba endelea kuimarisha imani zetu na Afya zetu sambaza Amani,Upendo na Mshikamano katika familia zetu...tupe mioyo ya kukupendeza..Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen.
JUMATANO NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom