Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hilo pepo lishindwe
Kojoooooooo9 vipiiiiiii
Kojoooooooo9 vipiiiiiii
Ushaaalishindaaaaaaa kojoooooHilo pepo lishindwe
Ushaaalishindaaaaaaa kojooooo
SorryNilikwambia nipo kwenye mfungo na maombi
Marhabaa.Shikamoo
aiseeehh!!...Shiakmooooo
MfyuuuuuuShikamoooo






Mabinti wanapenda sana ndoa halafu age uwe umevuka 30 uwiiiiiiiii
Umefunga hadi kukojoa...?Nilikwambia nipo kwenye mfungo na maombi

Nawe piaNawatakia usiku mwema wakuu wote humu.
Umekuja kulinda eeehNawe pia
Ngoja kwanza nimuulize wifi yako..Umekuja kulinda eeeh
SawasawaNgoja kwanza nimuulize wifi yako..
Rafiki umeshafanya ile homework yangu?Sawasawa



TUOMBE:Baba katika jina la. Yesu Kristo Asante kwa kutuamsha salama leo Jumatano tarehe 10 Oktoba 2018..Tunakushukuru Tunaomba toba kwa yote tuliyoenda kunyume na mapenzi yako, kwa mawazo ,maneno na matendo uturehemu twakusihi.Siku ya leo Tunaomba Roho Mtakatifu akae nasi atuongoze ,atufundishe ,atupe nguvu ya kushinda vikwazo vyote.Tunaomba kibali kwa kila tunalopitia uwe pamoja nasi Bariki kila kazi halali ya mikono yetu,walinde watoto wetu na wajukuu wetu roho za wizi wa watoto ishindwe katika jina la Yesu Kristo na watoto wote walioibiwa wawe salama mwili na roho na warudi katika familia zao.Bariki wasafiri nchi kavu,majini,angani ..watie nguvu wafiwa wote,wajane,yatima wape matumaini.Bariki kuingia na kutoka kwetu simama nasi tusonge mbele kwa imani kuu.

