Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Shikamoo
Shikamoo
ShikamoooooHauzimiiiiiiiiiiiiiimoto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
![]()
Shiakmooooo
Shikamoooo
Kina Naveen walikuwa na simu..Mbona uliandika madudu jana
Hongera zake. Too much pressure za kuolewa kwa mabinti jamani...Lulu Jemimah, raia wa Uganda na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza ameamua kujioa mwenyewe baada ya maneno ya kila wakati toka kwa wazazi & ndugu kutaka aolewe.
Lulu mwenye umri wa miaka 32 ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika chuo hicho mashuhuri duniani.View attachment 891654
Sasa mitumbwi yao ndiyo ina usalama zaidi? Wakara nao bwana !!!Wakazi wa Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza wamegoma kupanda vivuko vya MV Sabasaba na MV Ukara, na kutishia kuviponda mawe kwa kile wanachodai kuwa na mashaka juu ya usalama wa vivuko hivyo.View attachment 891652
Afadhali. Haya mambo ya kuwekana Ijumaa mpaka Mandei yalikuwa hayafaiJeshi la Polisi limesema litatoa dhamana siku zote za wiki kama ilivyoagizwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, lakini pia litazingatia usalama wa mtuhumiwa.
Kama mtuhumiwa atatimiza masharti ya dhamana usiku ambapo kumwachia kutahatarisha usalama wake, hawatamwachiaView attachment 891649
Wapinzani Afrika wanapata taabu sana !!!Hofu na wasiwasi imekumba jamaa marafiki na chama cha upinzani cha Victoire Ingabire, FDU nchini Rwanda baada ya serikali kutangaza kuwa naibu rais wa chama hicho Boniface Twagirimana ametoweka kutoka gereza la Mpanga.
FDU inapinga ripoti ya idara ya Magereza ya Rwanda ikidai haiwezekani mfungwa aliyehamishwa katika gereza hilo lenye ulinzi mkali siku 3 zilizotangulia kutoroka. Boniface ni naibu wa Victoire Ingabire aliyepewa msamaha wa rais Paul Kagame majuzi.View attachment 891643









in 1800s young boys used to go for war in the battle fields but nowadays men in their 25s are hurt by negative comments on the internet... Si io ni kirimino???!! Modafakas what a generation*
Hongera zake. Too much pressure za kuolewa kwa mabinti jamani...
Sasa mitumbwi yao ndiyo ina usalama zaidi? Wakara nao bwana !!!
Kojoooooooo9 vipiiiiiiiEndeleeni kutekana tu