Mbona uliandika madudu janaSijawahi kulewa mimi
Simtaki na mm baki naeNimekuachia ww sasa zamu yako
Simtaki na mm baki nae
Basi akwendreeeMm siwezi baki nae nishaachana nae
Ujinga huo sifanyi mm naanzaje eti watu mmekutana ukubwani eti ninywe sumu ili nigundue nn kwa mfano niache mautamu yote haya na raha kufwaaa mwenyewe


Lulu Jemimah, raia wa Uganda na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza ameamua kujioa mwenyewe baada ya maneno ya kila wakati toka kwa wazazi & ndugu kutaka aolewe.
Lulu mwenye umri wa miaka 32 ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika chuo hicho mashuhuri duniani.View attachment 891654
wanaume hawajawajibika hapa