Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahhahahah mapadri walijua wamepata kijana wao
Si nikapelekwa form one seminari flani Tabora bana!.. Hapo nishasikia Seminary kuwa padre nje nje, mbona nilifukuzwa ile shule!. Ratiba za kuamshana saa 12 kusali na masharti yao ni magumu kwa kweli!.
Basi miaka ya 2008-2012 hivi nikasikiaga Charismatic imepigwa marufuku, eti nilifurahi maana bimkubwa ndio zilikuwa zinampa kiburi akirudi home anakuta watoto wake wapo tu wakati wa wenzie anakutana nao huko kuomba!..
Shetani huyu acha tu!.
 
Hahahahhaha
Nawaza tu sasa hivi ungekuwa bikra wa kiume
 
Na ungekuwaje unatongoza wanaokuja kuungama dhambi mana mapadri ndio zao hizo
Kuna rafiki yangu mmoja alijifanya anajua sana hayo mambo huwa ndio reference yangu nikianza semwa!.
Alipomaliza Six alirudi seminary kuanza safari mwaka 1 tu akainua mikono saa hii kaoa na watoto wawili juu!.
Ila kiukweli ni mshamba linapokuja suala la mahusiano!..
 
Mshamba si sababu hajazoea hahaha
Kuna rafiki yangu mmoja alijifanya anajua sana hayo mambo huwa ndio reference yangu nikianza semwa!.
Alipomaliza Six alirudi seminary kuanza safari mwaka 1 tu akainua mikono saa hii kaoa na watoto wawili juu!.
Ila kiukweli ni mshamba linapokuja suala la mahusiano!..
 
Hahahah basi kama kuanzia 25 utakuwa kwenye 27 haujavuka 30 halafu hisia zangu naziamini sana
niweke cheti mezani nini!?.. Ila kwetu hatuzeeki mapema nikisema nipo chini ya 30 hukatai!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom