Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,194
Zawadi gani kwanza!?.. Sipendi Surprize ujue!.mfyuuuuuu ebu irudishe ile ya mwanzo nataka nikupe zawadi
Zawadi gani kwanza!?.. Sipendi Surprize ujue!.mfyuuuuuu ebu irudishe ile ya mwanzo nataka nikupe zawadi
Hahaha hahahaNa mm naleft kwa nyuma
Hahaha hahaha
Usiku mwema mama mchungaji
Mnaona sasa mnajua nawadanganyaSema kweli
Transcend ukuje
Zawadi gani kwanza!?.. Sipendi Surprize ujue!.
Najua kabisaaaUmeanza hivi si unajua bado kidogo mda wa maombi ufike
Usiku mwema na kwako mbebez wa TNaomba niwatakie usiku mwema...
Tutakutana tena Mungu akijaalia



Mnaona sasa mnajua nawadanganya
Usiku mwema na kwako mbebez wa T
Yesu akutunze![]()
Huwa unafanya maombi kila siku!?.. we dhehebu gani?.Umeanza hivi si unajua bado kidogo mda wa maombi ufike
Asante sana uncle ObeHappyborn Date Transcend
Hongera mdau kwa kuanza mwaka mwingine mpya leo, yes, nilipoingia humu nikasema nikiuliza kama kuna jipya nitapoteza muda kumbe nilikosema maana watu wema huzaliwa siku na tarehe kama ya leo. Hongera nyingi na umepata chaguo la muziki maalamu toka kwa aunt yangu Shunie amededicate wimbo mzuri kwa ajili ya siku yako tarehe hii nzuri na muhimu kwako.
BTW, nimemuona Sakayo kaachia nywele nadhani ni kwa sababu ya tukio na kanikumbusha wiki hii nilibananishwa kuangalia Nappily Ever After, ni comedy/romance movie mtaipenda
Huwa unafanya maombi kila siku!?.. we dhehebu gani?.


Ujamaa wenu kama ngozi na pichu!.🙂Eiish kwa nn nisiwafiche sasa sio kila kitu cha kusema
Hivi ni ww ndio umeandika hapa nileft tu makapukuUjamaa wenu kama ngozi na pichu!.🙂