Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nikiuliza kama kuna jipya leo jumatatu nitajisumbua tu kupata majibu, ngoja nisubiri kesho kwa sasa ngoja niweke muziki tu. wikend yangu ilikuwa fupi sana, asante kwa kutoniuliza.

Happyborn Date Transcend

Hongera mdau kwa kuanza mwaka mwingine mpya leo, yes, nilipoingia humu nikasema nikiuliza kama kuna jipya nitapoteza muda kumbe nilikosema maana watu wema huzaliwa siku na tarehe kama ya leo. Hongera nyingi na umepata chaguo la muziki maalamu toka kwa aunt yangu Shunie amededicate wimbo mzuri kwa ajili ya siku yako tarehe hii nzuri na muhimu kwako.

BTW, nimemuona Sakayo kaachia nywele nadhani ni kwa sababu ya tukio na kanikumbusha wiki hii nilibananishwa kuangalia Nappily Ever After, ni comedy/romance movie mtaipenda

Asante anko Obe

Woyoooooo
Happy birthday once again T
Hapa nimenunua cake nakata kwa niaba yako
Happyborn Date Transcend

Hongera mdau kwa kuanza mwaka mwingine mpya leo, yes, nilipoingia humu nikasema nikiuliza kama kuna jipya nitapoteza muda kumbe nilikosema maana watu wema huzaliwa siku na tarehe kama ya leo. Hongera nyingi na umepata chaguo la muziki maalamu toka kwa aunt yangu Shunie amededicate wimbo mzuri kwa ajili ya siku yako tarehe hii nzuri na muhimu kwako.

BTW, nimemuona Sakayo kaachia nywele nadhani ni kwa sababu ya tukio na kanikumbusha wiki hii nilibananishwa kuangalia Nappily Ever After, ni comedy/romance movie mtaipenda

Similar Discussions

Back
Top Bottom