Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mtu chakeIn your honor..
I am here ! Humble before the kapukuz..
Ukuje udai keki
Mtu chakeIn your honor..
I am here ! Humble before the kapukuz..
Aisee kumbe kiboko yako nyoka " ngoja kesho nimuue kisha nije nae huko dallas royal " nikutishie " simuachii mpaka unipe chiu
Blessed yupoooKwa phone hapatikanii...
Lee empire yuko wapi jamaa bila kumsahau Blessed Na from zero
Huyo Jack ni nani etiWapiiii...
Kitu jack wa daniel..
Hahaha hahahaHuyo kiumbe uliyemtaja usiku huu namuogopa mm huwa hatajwi jamani naogopa hata kusimama kwenda nje hearly
hahaa nikipate wapi " leo ndio nimetoka kuanua matanga Aisee ...nakuonea wivu mnoo na yule manzi wako wa UDSM aisee ..mkuu unafaidi sanaKwanza pole kwa yalokukuta Mv Nyerere.
Vipi kile kident ulichokifata kilipona?.
Sikwendi popoteKwendraaaaa uko
sawaa maneno haya nataka uyatamke nikishafika hukoAiseee utapambana na hali yako
Ujue naleftMoto na uwakeeeeeeee![]()
Kwa wanaume wote;Kazi ya T hiyoooo
Na password kabadili
AseeLee empire yupo insta na whatsapp
Sikumbuki hata jamaniiEbu niambie kilichokugunisha kwanza
Wapi jamaniiEmoj zipo
Kwa wanaume wote;
Wakuu kama una mwanamke anaejielewa naomba umtunze kisawasawa.
Mpende kwa 100%
Mjali kwa 100%
Mfanye kipaumbele 100%
Wekeza kwake 100%
Mlinde kwa 100%
Mthamini kwa 100%
Jua dhamani yake kwa 100%
Mfanye ajisikie kupendwa kwa 100%
Mfanye ajue ibada (kulingana na dini yako) kwa 100%
Matokea yake utabdili jamii na ulimwengu mzima..
I was taught this is 2002! I have been doing this na naona matunda yake..
Tupo jf tuu hatujuani ila kuna life nje wa jf..
Pendaneni wakuu..
Its my b'day! Wito watu ni Spread love to the family

daaah wakubwa wana faidi sana ".. Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama kaka TKazi ya T hiyoooo
Na password kabadili
Imekwisha TDada tumosa...
Tuache hiyo mada..!
Naomba tuu..![]()
To our familiesKwa wanaume wote;
Wakuu kama una mwanamke anaejielewa naomba umtunze kisawasawa.
Mpende kwa 100%
Mjali kwa 100%
Mfanye kipaumbele 100%
Wekeza kwake 100%
Mlinde kwa 100%
Mthamini kwa 100%
Jua dhamani yake kwa 100%
Mfanye ajisikie kupendwa kwa 100%
Mfanye ajue ibada (kulingana na dini yako) kwa 100%
Matokea yake utabdili jamii na ulimwengu mzima..
I was taught this is 2002! I have been doing this na naona matunda yake..
Tupo jf tuu hatujuani ila kuna life nje wa jf..
Pendaneni wakuu..
Its my b'day! Wito watu ni Spread love to the family