Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, aliyehamia Juventus kutoka Real Madrid majira ya joto. alishinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka jana.

Ballon d'Or ni tuzo ya aina gani?

Tuzo ya Ballon d'Or ambalo kwa Kifaransa maana yake ni Mpira wa Dhahabu imekuwa ikitolea na jarida la France Football ekila mwaka tangu 1956, na mshindi wa kwanza alikuwa mchezaji wa zamani wa kimataifa wa England Sir Stanley Matthews.

Orodha ya wanaoshindania huandaliwa na wafanyakazi wa jarida hilo la Ufaransa, na mshindi kuchaguliwa kwa kupigiwa kura na waandishi wa habari za michezo kutoka kote duniani. Kila taifa huwakilishwa na mwandishi mmoja.

Kwa miaka sita, kulikuwa na ushirikiano na Shirikisho la Soka Duniani Fifa na jina lake likawa Fifa Ballon d'Or.
 
Hata hivyo, Fifa walifikisha kikomo ushirikiano huo mwezi Septemba 2016, na sasa kunatolewa tuzo ya Ballon d'Or na Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Fifa.


Washindi wa tuzo za Fifa walitangazwa Septemba ambapo kiungo wa kati wa Croatia na Real Madrid Luka Modric alitawazwa mchezaji bora wa kiume duniani.
 
John Terry: Mchezaji wa zamani wa England na nahodha wa Chelsea astaafu soka
  • Baada ya miaka 23 , nahodha wa zamani wa Chelsea, John Terry ameamua kustaafu katika taaluma yake ya uchezaji soka. Beki huyo alitangaza hilo kwenye ukurasa wake wa Instagram.Terry ni beki wa kwanza kuifungia chelsea.
Je, ni mchezaji gani ungependa kumuona akistaafu?
 
Na kweli sanchez alimbeba

Sasa mechi inayofuata tusikie Man- U kafungwa, mtu atuletee ALFULELA ULELA Hekaya za Abunuasi eti Kalimakenge alikataa kwenda Shule ESOPO, hata wakitoa drooo tu, kamata Lukaku fyeka, Pogba fyeka, Sanchez fyekeleaa mbali,

Na hawa kina Lingard sukuma bench, Matial sukumilia na mashabiki woote wanaoshangilia na kuchezaa chikichichiki wakiongozwa na Shunie sukuma ndani, na kama kuna wengine wanabet Man u itafungwa sukuma ndaniiii.....
Mnaombea tufungwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom