Makapuku Forum

Makapuku Forum

SAA 6 MPAKA SAA 7 MCHANA. Ni chakula cha mchana .

kama haupo nyumbani ,kwa sababu watu wengi hasa wafanya kazi wa ofisini huwa hawarudi kwaajili ya chakula cha mchana,huenda kula magengeni ,wengini mahotelini kila mtu na uwezo wake, lakini huko unakoenda kula , lazima uwe na hekima ya kuchagua ni nini utakula sio tu kwa sababu fulani anakula hiki basi unataka kumzidi ili uonekane, huo ni ujinga. tafuta chakula chenye akili , badala ya kula chips kuku soda,wewe kula DONA NA MBOGAMBOGA NA SAMAKI NA MAJI AU JUISI
CHAKULA CHA USIKU NAAMINI UNAPATA NYUMBANI:

Unatakiwa kula nyama ambayo hauna mafuta kabisa , na isiwe nyingi , za kiasi tu na iwe bora,kula nyama hihi pamoja na mbogamboga za kutosha kama vile kabichi iliyochanganywa na karoti hoho na vitunguu ila isiive ,mchicha au spinachi ni vitu vinavyopatikana kwa urahisi .unaweza ukala nya ya kuku badala ya nyama nyekundu.
 
BAADAE KWENYE SAA MOJA MBILI : wakati ukiwa unaangalia na kusikiliza habari maana siku hizi watu wanapenda kusikiliza taarifa mbalimbali ,au yaliojiri siku hio ,unatakiwa kula yogati, kama huna yogati kula viazi vitamu kidogo tu vibichi au muhogo kidogo mbichi,na viwe vimeaandaliwa vizuri

unakula kipande kidogo na sio vingi. chochote kati ya hicho
 
Wanawake wa dar na wanaume wa dar uwaambie wasile chipsi wataandamana
Kama umewahi kusikia neno water proof, utaelewa vizuru ninachotaka kukupa hapa, Kuna watu hata hawafanyi mazoezi ili wapungue mwili , wao wakovizuri siku zote hawapati magonjwa ya kisukari ,moyo kuumwa miguu, mara kuumwa figo na hata kuwa wanyonge nyonge. watu hawa hutumia njia ya baiolojia katika kuishi kwao.

WANA ADABU KATIKA KULA KWAO,HUFUATA TARATIBU ZA ULAJI.

Kula chakula sahihi ni Ufunguo.kama unataka kuuweka sawa mwili wako ndani na nje,hakikisha unakula vyakula vya asili vya mimea, acha kula sukari,acha kufakamia chips. ukitaka kuishi bila ya kuugua mara kwa mara fuatilia ulaji bora na sahihi ,na wakati sahihi ,tena ukiwa na njaa tu. . tuangalie ulaji wetu kwa siku,;



SAA 12 ASUBUHI : Kifungua kinywa chako kiwe ni kahawa ya maziwa nzito ,tena kahawa iwe ni ile yenye virutubisho, si unaelewa kuna kahawa mbalimbali, basi tumia kahawa bora na maziwa ,ukiweza kama una mbuzi kamua mbuzi tumia maziwa yake na kahawa,
 
Yogati si inanenepesha pia
BAADAE KWENYE SAA MOJA MBILI : wakati ukiwa unaangalia na kusikiliza habari maana siku hizi watu wanapenda kusikiliza taarifa mbalimbali ,au yaliojiri siku hio ,unatakiwa kula yogati, kama huna yogati kula viazi vitamu kidogo tu vibichi au muhogo kidogo mbichi,na viwe vimeaandaliwa vizuri

unakula kipande kidogo na sio vingi. chochote kati ya hicho
 
Ni kupungua kiafya sio ile unakondaa pyeee kuna kukonda kiafya hivyo unabalansi vyakula. Na vyakula vyote huwa vinaleta unene. Ukiridhika tu na maisha hakuna diet itakayofanya kazi mwilini
Basi nikajua kuhusu kupungua ulivyoelezea na ukaweka yogati
 
CHAKULA.

Wakati homoni zikiwa na tatizo mwilini mwako utaelewa tu , maana kuna dalili utaona , mara utasikia kuchoka bila sababu , uzito kupungua, hutapata usingizi vizuri usiku,nguvu zinapungua na kuwa na mawzo mengi.

ukiona dalili hizi ujue kuna tatizo la homoni mwilini, unatakiwa kufanya vifutavyo,

1 .fanya kumuona dakitari kwa check up

2.angalia chakula unachokula .

Mara nyingi vyakula tunavyokula sio vya msaada kama dawa, havitusaidii kuweka homoni sawa,uwezo wa kutengeneza homoni za mwili hupungua kutokana na vyakula tunavyokula. vyakula vifuatavyo vinasaidia.
 
1.MAFUTA YA NAZI

wataalamu wanasema mafuta ya nazi ni mazuri kwa kutumia , kwa sababu nazi haina mafuta mabaya, pia nazi inasaidia kutengeneza homoni za mwili wa binadamu , pia nazi haina lehemu inasaidia kutengeneza homoni.

2. BOGA NA MBEGU ZAKE.

Boga ni chakula kizuri , na sio chakula kigeni sana , ni kila mtu anajua boga ni nini, unashauriwa kula maboga na mbegu zake , hasa m,begu zake zikiwa kavu ni nzuri zaidi kwa kutengeneza homoni za mwili.,wataalam wanaSEMA MBEGU ZA MABOGA KAVU PIA ZINASAIDIA KUPUNGUZA SARATANI YA MATITI KWA WANAWAKE. Pia husaidia kukuza mifupa

wanawake wanaotumia hizi mbegu wanajiepusha na matatizo haya ya saratani, kula boga kausha mbegu zake , tumia kama dawa.
 
3.BROCCOLI



Hii ni aina ya chakula ambacho unaweza kuchanganya na mboga nyingine, inasaidia kutibu magonjwa ya kisukari, inarekebisha sukari mwilini,inasaidia kuweka homoni sawa, unatakiwa kula hiki chakula kila siku kwa wingi, pia kinasaidia kuondoa mafuta mwilini .
 
4. AINA HII YA SAMAKI



Samaki kama huyu ni mzuri kwa utengenezaji wa homoni za mwili, tumia aina hii ya samaki ikiwezekana kila siku , tena ule alichemshwa tu sio kugaangwa . kama siku hutumii samaki , tumia mafuta ya samaki kwa ajili ya matibabu,.
 
5 .MAYAI.

Tumia mayai ya kienyeji yatakusaidia kutengeneza homoni za mwili , pia mayai ya kienyeji husaidia kuondoa woga na kuepuka hali ya wasiwasi, inasaidia pia kutengeneza misuli na kusaidia ubongo wako kukua vizuri na kufanya kazi vizuri. mayai yanafanya homoni kukaa sawa,

Unapokuwa na hali ya woga na wasiwasi , tengeneza mayai kula , utajisikia vizuri.mayai ya kienyeji.



unaweza kutumia vyakula vifuatavyo . tumia kama chakula sio mboga., maharage, njugu dengu na kunde.
 
Na kweli sanchez alimbeba

Sasa mechi inayofuata tusikie Man- U kafungwa, mtu atuletee ALFULELA ULELA Hekaya za Abunuasi eti Kalimakenge alikataa kwenda Shule ESOPO, hata wakitoa drooo tu, kamata Lukaku fyeka, Pogba fyeka, Sanchez fyekeleaa mbali,

Na hawa kina Lingard sukuma bench, Matial sukumilia na mashabiki woote wanaoshangilia na kuchezaa chikichichiki wakiongozwa na Shunie sukuma ndani, na kama kuna wengine wanabet Man u itafungwa sukuma ndaniiii.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom