Manchester City watahitji kuvunja rekodi yao ya kusaini wachezaji kumsaini kiungo wa kati wa Lyon Tanguy Ndombele baada ya klabu hiyo ya ufaransa kumwekea thamani ya pauni milion 70 mchezaji huyo wa miaka 21 mwezi Januari. (Star)
Manchester United wamemuambia Paul Pogba kuwa hatauzwa mwezi Januari licha ya mfaransa huyo wa maiak 25 kuripotiwa kuwa na nia ya kujiunga na Barcelona baada ya wao kuonyeha nia ya kumsaini. (Mail)
Straika za zamani wa Arsenal Thierry Henry ameibuka kuwa bora kuchukua umeneja huko Aston Villa baada ya mazungumzo na wakuu wa klabu hiyo. (Sunday Telegraph)
Kiungo wa kati wa Tottenham Mousa Dembele, 31, hatarajiwi kujadili mkataba mpya na huenda akaondoka wakamti mkataba wake utakwisha mismu wa joto akitarajia kuhamia China au mashariki ya Kati. (Sun)
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic, 37, ambaye sasa anaichezea LA Galaxy yuko tayari kuzungumza na AC Milan kuhusu kurejea kwake kwa mujibu wa ajenti wake Mino Raiola. (Sun)
Arsenal wanatarajiwa kumwendea nahodha wa Porto Hector Herrera, 28, kama atayechukua mahala pake Aaron Ramsey, 27, ambaye anatarajiwa kuondoka Emirates mwezi Januari au msimi ujao wa joto. (A Bola, via Football London)
Ndio kiukweli ubize ulinitinga kupita maelezo naona siku zinaenda hauishi bora nirudi tu kundini cha msingi nipangilie tu ratiba zangu vizur na social medias.