Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuanzia Oktoba 9, mabasi ya abiria katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma yataanza safari saa 11 alfajiri, na serikali itakapojiridhisha na usalama, utaratibu huo utatumika mikoa mingine.

Agizo la awali halikutekelezwa kwa sababu taratibu hazikukamilika.
Screenshot_20181007-082223.jpeg
 
Laquan McDonald: Afisa wa polisi mzungu Jason Van Dyke aliyemfyatulia risasi 16 kijana mweusi mwenye umri wa miaka 17, Laquan McDonald amepatwa na hatia ya mauaji ya kinyama.

Mauaji hayo yaliyofanyika Chicago Marekani mwaka wa 2014 yalisababisha machafuko na mabadiliko katika idara ya polisi na haki. Anakabiliwa na kati ya miaka 6-15 gerezaniView attachment 889138
Kapata wakili mzuri tu, huku Tz angeangalia Miaka isiyopungua 30 au kifo tu ashukuru hata hiyo miaka 15.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom