Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Nisaidieni wadau nimesahau jinsi ya ku upload Miziki humu [emoji1][emoji849]...natumia simu nyingine.
Karibu sana jisikie uko nyumbani,nyakunyaku hawapo humuNdio na nimerudi kwa Vishindo, michepuko ikae kando muda wa kujiachia umeisha, main chick nimerudi sasa kwa nyumba...[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo aliyemteka ndo namtaka tupambane....watu na mali zetu bhanaa [emoji1]
Wapo dear ...utawaonaaMissing uu sanaaa, hivi Muhenga Shululu yupo? Na Jimenna
@obeNisaidieni wadau nimesahau jinsi ya ku upload Miziki humu [emoji1][emoji849]...natumia simu nyingine.
Wacha aje anielekeze...mi nishafeli au sijui ndo mashikoro hizi simu zingine sio type zetu [emoji1787][emoji1787]@obe
....kwani unatumia simu gani, maana JF wamebadili baadhi ya vituWacha aje anielekeze...mi nishafeli au sijui ndo mashikoro hizi simu zingine sio type zetu [emoji1787][emoji1787]
Tangu lini akaachiwa jmos ?
Ngapi ngapi kwaniTimu ya aunt yangu Shunie naena imefanya mambo 🤼♀️[emoji460]️
Natumia simu ingine Samsung galaxy S8, mwanzo nilikuwa natumia samsung core prime ilikuwa na copy tu Link then nakuja ku paste Jf, sahv nikijaribu naona mapicha picha tu [emoji852]....kwani unatumia simu gani, maana JF wamebadili baadhi ya vitu
Ukitaka urahisi copy link ya muziki then hapa unapoandika
Baadae ukitoka kanisaniNitumie ofa yngu mtu chake
Shululu hayumo na Mimi [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Moyo wangu unafarijika.....
Salute kwa founder members wote
President Bitoz (BishopTembo)
Vice Pr. Jimena
Prime minister Th name
Nahrene
Cute B
Ibra 87
EMMYGUY
AmenAmeni![emoji120] [emoji120] [emoji120] View attachment 889069