Ameen...uko poa ?Habari ya asubuhi wapendwa,naamini mmeamka salama wote
Poleni wagongwa
Wasafiri muende na kurudi salama
Wafiwa Mungu awatie nguvu
Wengine mapumziko mema,wengine kazi njema
Nko poa za wwAmeen...uko poa ?
Niko poa kabisa ...mchepuko wako mzima ?Nko poa za ww
Upi huo?Niko poa kabisa ...mchepuko wako mzima ?
Mpendaa churaaaUpi huo?
Tuna mshukuru Mungu tu mwema kwetu.Habari ya asubuhi wapendwa,naamini mmeamka salama wote
Poleni wagongwa
Wasafiri muende na kurudi salama
Wafiwa Mungu awatie nguvu
Wengine mapumziko mema,wengine kazi njema
Muwe na asubuhi njema,nawapendeni wote
Yule simuwezi sina chura mieMpendaa churaaa
Mzima kabisa.sijui wewe mkuu.![]()
![]()
![]()
![]()
Vp uko mzima
Tukoo poaaMmeamkaje humu ndan
Njema hyo kiongoz....Tukoo poaa
Nko pouwaMzima kabisa.sijui wewe mkuu.
Hatujambo,karibuMmeamkaje humu ndan