Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Jeshi la Uganda limezindua nembo mpya ya kondomu zitakazotumiwa na wanajeshi nchini humo.
Kondomu hizo zinaitwa Ulinzi, na zitasaidia kupunguza kuenea kwa Virusi vya UKIMWI.
Pakiti za kondomu hizo zimeandikwa, 'Usiende Nyama kwa Nyama' zikiwahamasisha wanajeshi kutumia kinga.

mii zaidi