Makapuku Forum

Niko na anko hapa eti anawasiwasii na kazi za asili za usiku .. anko bwana eti unageukaa kama gogo


...duh, ushabadilisha maneno sasa anko, me nilisema labda hajui kwa sababu ni M-gogo wewe ndo ukaendeleza kwamba yeye anatuliaga tu kama gogo.
 


...anko wangu sasa 😀😀😀😀😀, simu yake passiwedi ndefu utafikiri reli, inakonakona utasema mto malagarasi, ina nukta na viulizo vya kutosha. Ila ni sawa maana mtoto wake ambaye bahati mbaya mimi ananiita bulaza akiiona yaliyomo kwenye simu ni bora angebemendwa. utapenda mtu anayekuita bulaza au sisteri abemende na simu ya mdingi wake wemye tabia kama za anko wangu Lyon Lee
 


Duh, sijui niandike nini mdau kuonesha nimeguswa sana na makala yako ya leo, hata za siku nyingine huwa ni nzuri sema hii ni very personal yaani sio kama vile visingizio vya kuvuta bange, sijui pombe na mambo mengine ya kiadventista
 
Binamu Obe panakuhusu hapa

...ni kweli pananihusu hapa ndugu yangu wewe, kwanini na ninafurahi umenihusisha hapa ni kwa sababu inakadiriwa wavutaji sigara Tz wako kama milioni 4 watoe wale vijogoo vya form two. Hawa huvuta pakiti milioni 81 za sigara kwa mwaka na kuliingizia taifa bilioni 38 na kumbuka hizi ni takwimu za mwaka 2015 na usiwasahau ndugu zetu zaidi ya elfu 70 wa mikoa ya Tabora, Iringa na Moro kutaja michache walioajiriwa kwenye kilimo cha tumbaku na viwanda vya sigara.

Asante kwa kuniita hapa, na kuhusu hasira, watu wasiokunywa pombe, wala kuvuta sigara wana hasira sana, sijui kwanini
 
Shunie unahangaika korosho nitakuletea.

..wewe unatokea Mtwara? Lindi, Mkuranga au Rufiji? Una uhakika korosha unazotaka kumletea aunt yangu zina ubora unaokubalika kimataifa? sio umletee korosho zinanuka sigara na tumbaku au zinanuka mchaichai
 
Ww wasema gogo limesingiziwa kitu nikilala mpaka nigeuzwe na huu ubonge sasa nafwaa

...yaani ukilala unakuwa kama moja, umenyooka bora gogo lina vinundunundu.

Hivi mnaongelea nini, mjue kukata magogo hakuruhusiwi hasa ukiwa safarini maporini na magogo ya mbao yanasababisha ukataji wa miti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…