Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Tusali Rosary kdg
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Tusali Rosary kdg
Ok...usiku unaenda poa sana, ila ujue nini mdau. Makapuku ni kama koloni la mwingereza, sehemu nyingine ni mchana watu wanapata lunch na kwingine leo ni jtano jioni
Daa hatari sana hilo pepo likutoke kwa jina la yesu...msaada wowote usidanganyike kuwa hauna tarajio fulani, hakuna chai ya bure,
Hujageuza nyumaJe wajua inakujia hivi punde na shunie shunie
Sorry! Kuna gazeti hujaligeuza nyumaJe wajua inakujia hivi punde na shunie shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasemaje shunie [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] hauzim
UNANISEMA?
Kwa hio kumbuka kujiandaa na mabaya itakusaidia wewe kufikia malengo yako kwa urahisi zaidi na kuondoa matuta kwamba kama hukujiandaa ingesababisha kugive up mapema.
Tegemea mazuri, jiandae kwa mabaya yajayo, jipange kwa yajayo, kwa maneno mengine kwamba, usiogope matatizo, yapange na hayo matatizo yatumie yanapokuja, kwa njia hio, utaongeza akili ya mafanikio kwa njia hizo.
AsanteeAmka na magazeti na makapuku
Inakujia punde
Hujageuza nyuma
Sorry! Kuna gazeti hujaligeuza nyuma
Nilipitiwa na usingizi lkn ghafla umenishtua!Wouzeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Niko poaa kabisaaMm pia
Za wewe
UNANISEMA?
Nilipitiwa na usingizi lkn ghafla umenishtua!
Kaninyanganya abj sasa si shemHuu ushem vipiiii
Kutoka kwenye uanko mpaka ushem
Niko poaa kabisaa
Kaninyanganya abj sasa si shem
Afya ni tunu kutoka Mola[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una huo ugonjwa slim
Yaani wewe Mwanamke wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wouzeeeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrr wouzerrrrrrrrrrrrrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]