Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nywele nyeupe
Pamoja na watoto wengi (weupe au wa Kizungu) kuzaliwa na nywele nyeupe, wengi wao nywele hizo hubadilika na kuwa nyeusi wanapokua. Hivyo watu wazima wenye nywele nyeupe ni kati ya asilimia 2 na 16% tu.

Macho ya bluu
Ni asilimia 8 tu ya wanadamu wana macho ya blue. Hali hii inayosababishwa na vinasaba hivi sasa imejitokeza zaidi. Inakadiriwa kwamba binadamu wa kwanza wenye macho ya bluu waliibuka kati ya miaka 6,000 na 10,000 iliyopita.

Macho yenye rangi mbili
Hii husababishwa na ukosefu wa rangi (melanin) katika jicho moja kulifanya lilingane na jingine. Kadiri ya watu sita miongoni mwa 1,000 huzaliwa na kasoro hiyo. Mwigizaji wa kike wa Marekani, Mila Kunis, na mwimbaji Mwingereza, hayati David Bowie, ni mifano ya kasoro hiyo.
Ameeeeiiiijiiiing
 
Awali ya yote ni vyema kutambua ni tango lipi linafaaa kwa kula?

Tango linalofaa kwa kula ni tango lenye rangi ya kijani iliyokolea na lisilo tepeta, tango la aina hii ni zuri zaidi.

FAIDA ZA TANGO.

Tango husaidia kuupatia mwili maji. Sehemu kubwa ya tunda hili ni maji hivyo basi husaidia kurejesha maji mwilini.
Kupunguza sumu mwilini. Kutokana upatikanaji wa maji mengi kwenye tunda hili hvo basi ni rahisi kwa maji haya kusaidia zoezi la kuondosha taka mwilini.
Chanzo cha vitamin B.


...ulishawahi kula tango la kupikwa?
 
.
Screenshot_20181003-073105.jpeg
Screenshot_20181003-073132.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom