Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kufikia malengo yako, unahitaji kuamua kuwa na positive attitude, na hasa imani ya kwamba utashinda na kupata mafanikio unayoyataka. Hata kama kuna umuhimu mwingine wa kuandaa barabara ya kupitia, hata kama kutakuwa na vipingamizi na mambo mengine yatakayojitokeza ili kuingilia mipango yako unayotaka ifanikiwe.

Hii itaonekana kama itaonekana una tamaa- hata hivyo ni kwa sababu ya imani tuliyoiweka, ya kuwa haijalishi kutatokea nini , ila hatumanishi kitu kibaya.lakini ni kipengele muhimu cha kufikia mafanikio. Hatutawaza vibaya changamoto zinapotufikia na kutufanya tushangae kama tutaweza kufikia malengo.lakini kwa kuwa na mipango ni nafasi, hizi changamoto zinaweza kushughulikiwa na kuondoka kwa urahisi ili kupata njia ya kupita kuelekea mafanikio.
 
Kujiandaa kwa mabaya , itatusaidia kuona usalama wa mboni ya jicho tukiwa safarini.

Asilimia 80 iwe ni nguvu ya kuwaza mazuri, na asilimia 20 tu iwe ni ya woga.

Twende tutokee hili, hata kwa tamaa tulionayo zaidi bado tunakuwa na wasiwasi. Inapokuja kwenye kufikia mafanikio, woga unakukumbatia, na ujue woga ni namba ya mfunga wengi hata kama watu walio na ndoto zao, tunapoingia safarini tunajisikia kukumbatiwa na kushindwa mara nyingi, na tunaona kuishiwa nguvu kwa sababu ya woga.
 
Kwa kujiandaa na mabaya zaidi unaweza kufikia malengo yako kwa urahisi zaidi, na unaweza kuweka nguvu zaidi katika nguvu ya mawazo bora na yenye tabia nzuri, kwa kutambua kuwa hakuna kukubali kuyaachia mawazo mabaya ya woga kukutawala kichwa chako. Kwa kufanya hivi kuingiza asilimia kubwa ya mawazo mazuri, na kuondoa yale yenye asilimia ndogo ambayo ni mabaya , tayari unayo nafasi ya mipango.



Imani potofu inayokuzunguka , unapojiandaa, yanapotokea mabaya zaidi.
 
Kwa kawaida kabisa mafanikio huwa hayaji kwa urahisi, yaani huwezi kunyooka tu kwenye mafanikio. Hii inahitaji nguvu ya kipekee ndio maana wengi hata kujaribu hawawezi au hata kuamini tu mafanikio yao hayajulikani.. Halafu wengi wanaamini kuwa ukijiandaa na mabaya utapata mabaya, wamebaki wakifikiria hivyo na akili zao zikiwaambia hivyo kwamba hawawezi kufikia mafanikio. Lakini kwa ukweli ni kinyume, ni hoja ilio smart sana.
 
Furaha yetu na hisia zetu hustawi vizuri mara tunapojaribu kufikia malengo yetu. Tunakuwa tunaangalia mwisho wa matokeo na kuongeza furaha, lakini safari ya njiani inaweza kuelewa hili.. Kujiandaa ni njia nzuri ya kujiwekea usalama wa hisia zetu kustawi vizuri, tunapokwama mahali tunaelewa ni kitu gani kimetokea , na hapo tunapata njia ya kutokea na kuendelea na safar
 
Tunapojiandaa kwa mabaya , tunaondoa woga na kuleta ujasiri wa hisia ambazo zitakuwa na nguvu ya kutuwezesha kusonga mbele na kutakuwa ni faida kubwa kwa kufikia mafanikio.



Utajiandaaje na mabaya ili kufikia malengo uliojiwekea.

Inahusiana na mipango ya mbele. Wakati mwingine inaweza kuwa ni migumu, lakini kama una misingi mizuri utafika pale unapotaka kwenda. Kwa tatizo lolote katika maisha tunalokutana nalo, Kuna nafasi ambayo inatuangusha, ni ile hamu ya kupata tunachotegemea inapochelewa, na pia huleta hofu kwa wengi wetu.
 
Haijalishi mafanikio yako au ndoto yako ni , kutengeneza muda wa kukaa na kufikiria kuhusu uwezekano wa matukio, pesa, kwa mfano ni sababu kubwa inapokuja kubadilika kwa hali ya hewa, au mambo hayaendi kwenye ndoto yako, wasiwasi wa fedha, au ya kukosa, ni sababu moja kubwa , sema umeamua kugive up deski lako la kazi linalokuboa na kuanza kutafuta kusudi la ndoto yako . Hii ni kweli inaweza kukuletea risk kubwa ya kukosa pesa na inaweza kukuchanganya , inapokuja matarajio yako kuchelewa. Kwa hio weka pesa pembeni kwanza unapoamua maamuzi kama hayo na unaweza kujiuliza mwenyewe , kuwa itakuaje endapo nitaenda sehemu ambayo sio ya gharama kwanza?, kama ndio hivyo wapi utakwenda? Kuna watu wanaokutegemea ambao utaondoka nao?, utaweza kupata mkopo benki? Kama ndio hivyo angalia katika mikopo ya aina tofauti tofauti kama utaiweza kumudu kurejesha.
 
Kama utafikia malengo yako, utafanya nini badala ya hapo? Una maamuzi gani mengine yatakayokufanya uwe na furaha? Kama ulitaka kuwa mwandishi, ungeweza kwenda kufundisha badala yake.?au unarudi kusoma? Labda unaanza biashara yako ?kuwa na maamuzi inakusaidia kutuliza akili yako na kukufanya usiogope hali ngumu. Inakupa matumaini pia kuwa, kama hutaacha utafikia malengo yako, maamuzi mengine yaweza kuwa ni mazuri.
 
Kwa hio kumbuka kujiandaa na mabaya itakusaidia wewe kufikia malengo yako kwa urahisi zaidi na kuondoa matuta kwamba kama hukujiandaa ingesababisha kugive up mapema.

Tegemea mazuri, jiandae kwa mabaya yajayo, jipange kwa yajayo, kwa maneno mengine kwamba, usiogope matatizo, yapange na hayo matatizo yatumie yanapokuja, kwa njia hio, utaongeza akili ya mafanikio kwa njia hizo.
 
Itakuwa ni msaada wa nini?

Kwa kila mafanikio unayoongeza, utapokea majaribu na ni chombo cha kutumia kwamba kitakulinda katika mipango yote na mafanikio na matokeo ya umaarufu.

Kitu kizuri zaidi katika mafanikio ni kujiingiza kwenye mafanikio yako kwa kutengeneza safari ya kutunza afya yako.

Kama utaamua kulala vizuri,

Kula vizuri,

kufanya mazoezi au mtu wa kula na kulala,

Kuamka mapema ili kuwa na afya njema,

Ukijua una tatizo kwenda kucheki , au utacheki kabla ya tatizo,

Utaacha Ulevi ili kufanikiwa na mengine mengi ya kufanya kwa ajili ya maisha yako kuwa mazuri.

Panga mafanikio yako mwenyewe, sema utajaribu kuwa positive katika hali za aina zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom