Sijambo ndugu
Hio salamu tamu sana.
Hahahaha ndo maana tumejificha kwenye anonymous ili tufaidi vingi







Date na mtu ambaye anaweza kuacha simu yake mezani na kwenda zake chumbani, na wewe huna muda wa kuigusa simu yake kwa ajili ya kuangalia meseji.
Akilini mwako unajua kabisa hakuna kibaya kilichopo ndani ya simu yake, unafahamu kwamba hana tabia ya kumtumia mtu mwingine meseji, Unafahamu kuwa kipo chumba ndani ya moyo wake kwa ajili yako tu.
Niko poa kabisaHatujambo sijui wewe