Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari wadau wa Jukwaa hili linalopendeza kwa sababu wewe uko hapa. Nilikuwa na wikend nzuri sana, actually, a lazy one. Nilikuwa nalipishia usingizi ambao nimeukosa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wako kuzielewa maana ni sababu zangu binafsi. Well, Simba ilitaka kunipa msongo maana walipaswa kushinda ila ndo hivyo tena, waganga wanatofautiana wakiingia kucheza mpira.

Niache ngenga nikuburudishe kwa muziki na kukutakia wiki njema kwa kila la halali unaolifanya.

Nakupenda wewe kapuku na ndiyo sababu ninakuwa hapa sababu wewe upo

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom