Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Utakuja na jezi zangu man u sishabikii tena mpaka mourinho aondokeWkend hii tuko wote i promise na ntafurah zaidi man u mkifungwa apo nakulewesha mpaka unipige makofi
Utakuja na jezi zangu man u sishabikii tena mpaka mourinho aondokeWkend hii tuko wote i promise na ntafurah zaidi man u mkifungwa apo nakulewesha mpaka unipige makofi
Nakujaaaa nazooooooUtakuja na jezi zangu man u sishabikii tena mpaka mourinho aondoke
Nakujaaaa nazoooooo
viweke kwenye kabahasha nitumie sasa!..Eiiish sura unataka wakimbie wamuone Bibi alivyofanana na baba akee kifua tena
Akili za pombe jana nilikuwa sio mm
siku moja nitakukuta JLW na picha walahi!..ohooo!!...Mda wa babu sasa
zifate sasa!!.. kure unapopaogopa zaidi.Nazitaka ndio
viweke kwenye kabahasha nitumie sasa!..


Si uongo kabisa nikilewa najijua mwenyewe
siku moja nitakukuta JLW na picha walahi!..
zifate sasa!!.. kure unapopaogopa zaidi.
Usihofu nitaziangalia nikiwa metupia kinywaji!..Hahhaah sitaki we si unaniona mm Bibi yako niviweke ili unikimbie na huu uzee
kwahiyo hutaki lewa na mie siku moja tuu!!..Si uongo kabisa nikilewa najijua mwenyewe
Ukishaanza kupaogopa hutafika haki tena!..Hhahhaha
Wapi huko we ni mwehu
kwahiyo hutaki lewa na mie siku moja tuu!!..
Ukishaanza kupaogopa hutafika haki tena!..
Hivi ulikua umeshavunja vyungu kipindi kile Nokia wana kaapplication kale ukituma sms za instant messaging ukiisoma tu ukabonyeza back ndo kwisha ushaifuta txt kwa simu!?..Sitakiiiii
Pombe za ugomvi hizo kuongesha ulivyo na aibu ukiwa sober 🙂..Hahhaha
Tulewe wote ili ugundue nn na vile nikilewa ninavyojiamini yaan acha tu