Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani ni wereva yangu au mbona imegoma kufunguka binamu
...tena wengine huwa wanaweka hadi na chumvi kuongeza ladha? acha tu mazoea ni addiction ya aina yake. mmoja alikuwa anakula kucha hadi akapata maguugu (ukoma)
200609222025-pix1.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushahidi muhimu kutunza kumbukumbu nzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseeee kwahiyo anazipostigi na mnazisave mpaka niombe wanitumie
 
...yupo katekwa na penzi jipya, kwani ABJ yuko wapi jameni au ndo anaitafutia namba ya kunipa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abj kamkimbia hiyo akupe tu hata ya gari kila siku wimbo wa no
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom