Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nilikua na fani ya kutafsiri isidingo entertainment huko. Sasa jamaa wakataka kulazimisha nishinde ndani ya uzi mmoja tu ati ndo napawezea zaidi.
..kwani walijua una fani gani hao mafanani waliotaka kukuzibia kugawa ilmu bure?
Nitaenda kwenye hilo Jukwaa nami nikaangalie
 
6. Hunywa vinywaji moja kwa moja kwenye mdomo wa chupa bila kutumia glass wala vikombe. Na akipika, basi atakula kwa kutumia chombo hiucho hicho alichopikia.

7.Kutopenda kupika na kula mkate au matunda yote yaliyohifadhiwa kwa wakati mmoja. Wakati mwingine hununua vyakula vingi kupita kiasi na kuacha viharibike bila kupiuka wala kuvitumia.

8. Kucheza michezo ya kitoto ndani, na mara nyingi kuwa mchafu kupitiliza.

9.Kutojali kutengeneza vitu vilivyoharibika kwa wakati.

10. Hawapendi wageni wanaokuja bila taarifa kwani wengi wanachojali ni nguo zao tu, kwa kuwa ndizo zitakazoonekana wanapotoka!

Duh, umenikumbusha maisha baada ya kumaliza VeTA, aisee ni kama umeyaona maisha yangu.Neti nilikuwa nimeiseti kitandani yaani nikija kulala utasema naingia kwenye handaki. maisha yalibadilika pale niliponunua kiroba cha mchele na maharage nikaona nitafute mrembo wa kusaidiana naye kula. Kiroba kilipoisha akaondoka
 
una vituko sana

Zikiwa nyingi nitamgaia binamu hiko ulichonunua kitu kizuri used ni nn

...wee naye unakuwa mgeni na mimi jameni, nisiponunua saa mpya basi nanunua simu ya smartphone. ila sasa nimepanda ngazi kidogo, nimenunua Ipad, ni nzuri na nimeshaweka magemu.
 
JE WAJUA UNAUWEZO WA KUKUMBUKA AINA ELFU 50 ZA HARUFU? SOMA MENGINE KUMI YA KUSHANGAZA KUHUSU MWILI WAKO!

1. Mwanaume huzalisha mbegu milioni kumi za uzazi siku! Kwa maana hiyo, anauwezo wa kujaza idadi yote ya dunia kwa miezi sita tu!

2. Mtoto Mchanga ana mifupa 60 zaidi ya mtu mzima

3 Kuna kilomita laki mbili za mishipa ya damu kwenye mwili wa binadamu!

4. Misuli ya taya (mashavuni) Ndio misuli yenye nguvu kuliko misuli mingine yote kwenye mwili wa binadmu!

5.Masikio na Pua huendelea kukua bila kikomo hata binadamu akifikia utu uzima
Nina wasiwasi na namba 5, mbona sasa sikio halikui kuzidi kichwa?
 
Duh, umenikumbusha maisha baada ya kumaliza VeTA, aisee ni kama umeyaona maisha yangu.Neti nilikuwa nimeiseti kitandani yaani nikija kulala utasema naingia kwenye handaki. maisha yalibadilika pale niliponunua kiroba cha mchele na maharage nikaona nitafute mrembo wa kusaidiana naye kula. Kiroba kilipoisha akaondoka
 
Duh, umenikumbusha maisha baada ya kumaliza VeTA, aisee ni kama umeyaona maisha yangu.Neti nilikuwa nimeiseti kitandani yaani nikija kulala utasema naingia kwenye handaki. maisha yalibadilika pale niliponunua kiroba cha mchele na maharage nikaona nitafute mrembo wa kusaidiana naye kula. Kiroba kilipoisha akaondoka
ukinunua tena kiroba kingine niite nije tule wote
 
Hao hao ndo wakorofi mno,mie sikopeshi tunaenda sawa mpaka uzi unafutwa
Unaona sasa kila mtu na starehe yake woiii mtu kaniquote tu ghafla povu namuuliza ulikuwa unanitafutiaga sababu au thread sio yako sijakuquote alitukana nilitukana mpaka nikaamua kutoka mwenyewe halafu mwanaume sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom