Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nikuletee lini jezii au jpili hatuendii?
Jamani ninunulie na ya man u basi lakini nataka jezi za kike

Mm siendi nitaenda kuangalia bar eti azam yangu wameifunga sijailipia mda mrefu nimeambiwa card imeexpire

Uwanjani uko nisije nikafa bure kwa presha tukifungwa acha niangalie bar tu huku nakunywa zangu beer
 
Kudangana
Katuni%2BMay%2B28.jpg
 
Jamani ninunulie na ya man u basi lakini nataka jezi za kike

Mm siendi nitaenda kuangalia bar eti azam yangu wameifunga sijailipia mda mrefu nimeambiwa card imeexpire

Uwanjani uko nisije nikafa bure kwa presha tukifungwa acha niangalie bar tu huku nakunywa zangu beer
Ingelikuwa ya chelsea sawa ....
Twende si nitakuwa karibu na wewe ukizimia nakupepea ...

Azamu nenda pale kwao watakusaidia na uachee sasa kuitosaa kisa dstv ...
 
Acha ubaguzi bwana ninunulie basi na ya man u

Siwezi kwenda nisije nikadondoka bure

Nimecheka hapo kwenye kuitosa kwahiyo nikienda azam watanitoza hela

Ayaa ya man u ntakuchukuliaaa lakin next wiki mkifungwa tena ...

Wanatoza pesa wajinga wale nimeenda j3 kilikuwa hakiwaki kumbe adapter wananiambia nilipe 20 nikaona hawanijui nilivo bahil uzuri walitest wenyewe na kusema na adapter ...nikazama kwa fund nikampa buku 7 akanipa adapter maisha yanaendelea make ndani kuna timbwili la sultan kisipowaka nanuniwa
 
Eiiish mpaka tukifungwa tena haya ngoja tusubiri

Nimecheka kwenye azam mm bwana hiyo sultan toka ianze sijawahi angalia naiskia tu hao azam kwa sasa acha kiendelee tu kuexpire nitaenda siku yoyote azam kwao sina hata shida nacho
 
Kweli make hata habari hakuna ...labda mpira wa simba ila kweli ntakuletea na ndo kitakachoniletaa
 
Utaniletea na ya simba ninavyokusumbua sasa mpira nitaangalia bar tu hakuna namna jitahidi unitafutie za kike ukikosa ndio utachukua zilizopo za kawaida
Kweli make hata habari hakuna ...labda mpira wa simba ila kweli ntakuletea na ndo kitakachoniletaa
 
Asante The Book kwa tetesi za soka, na mipango ya kuleta makala za intelligence ifanikiwe mapema. Aunt yangu Shunie long time kwanza, asante kwa Magazeti na je Wajua, siku zote unajua wewe ni mtu mzuri ninayekupenda yaani ingekuwa Numbisa angesema una nyota ya ngekewa, ulimsoma jana?

Mndali ndanyelakakomu ni poa k ukuona hapa tena, ulipotea karibu.

Kuna Jipya? Ukiachana na habari za anko wangu Lyon Lee kutekwa na hausigeli?
 
Hahhaha binamu sijasoma habari za Numbisa za jana sijafukua makaburi kabisa
Asante The Book kwa tetesi za soka, na mipango ya kuleta makala za intelligence ifanikiwe mapema. Aunt yangu Shunie long time kwanza, asante kwa Magazeti na je Wajua, siku zote unajua wewe ni mtu mzuri ninayekupenda yaani ingekuwa Numbisa angesema una nyota ya ngekewa, ulimsoma jana?

Mndali ndanyelakakomu ni poa k ukuona hapa tena, ulipotea karibu.

Kuna Jipya? Ukiachana na habari za anko wangu Lyon Lee kutekwa na hausigeli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom