Asante
Numbisa kwa makala nzuri, nazisoma zote kwa ufasaha timamu kabisa.
Tumosa nipo sana, nilikuwa nalinda wikend kimyakimya.
Transcend hiyo pensi kwenye picha nadhani sio mimi, sababu mimi huwa navaa pensi ndiyo ila navaa na Tshirt maana nina kakitambi kalikogoma kutoka kwa mazoezi so nakarutubisha na bia na mchemsho.
Anko
Lyon Lee pamoja sana, asante kwa salamu zako nimezipata sawia bila shida na unasalimiwa sana.
Shunie,
mtu chake ,
omarion5 ,
SHIMBA YA BUYENZE ,
makaveli10 ,
dingimtoto ,
Clkey ,
ABJ ,
Da'Vinci ,
sweetlee ,
Nyagei ,
shululu ,
Wick ,
Slim5 ,
The Book na wewe kapuku unayenisoma hapa, ujue nini, ninyi ni wadau wa ukweli na mara zote ni fahari kusoma chochote mnachoshare hapa jukwaani, sharing is caring na hasa life knowledge na siasamaisha kwa ujumla.
Okay, tuyaache haya, Kuna Jipya?