View attachment 874942
sayansi ilinyoosha mikono mbele ya huu ukoo!.. Ukiangalia picha hii unaona nguzo zimehama upande then mbele zinarudi upande wake kuendeleza safari
😀
View attachment 874944
Ila kuna vijana naona walilihamisha kwa 1.5M.. Kila mbabe na mbabe wake!
View attachment 874945
NB:
Kituko kingine kipo Dom, ukiwa unaelekea Mipango ukifika pale Wajenzi kuna njia flani kushoto ya vumbi ukienda nayo mbele unakuta imeidivert nyumba ya tope(nyumba ya tope ipo katikati ya barabara).
Nilisikia mmiliki kikongwe flani hakutaka hamishwa ili ipite barabara wakatumia nguvu, matokeo yake nyumba haitoki na ujenzi ukasimama!.. ndio ile njia ya vumbi ambayo ukinyooka nayo unakutana na lami kuelekea chang'ombe!. (wajuzi watakuja).