Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mbinu Itakayokusaidia kutambua na kubadili mawazo mabaya yanayokuja kwako mara kwa mara .

Tamaa mbaya, mawazo mabaya, mitazamo mibaya inayotokea kwenye maisha yako yanaweza kutoweka kwa urahisi kuliko unavyofikiria . Unapokuwa unafikiria vibaya kila mara unaongeza risk ya uharibifu wa akili yako, unasababisha matatizo ya afya yako, Mahusiano yako, kipato chako hakiwezi kukaa vizuri.

Lakini habari ya mijini ni hii , kila mtu anaweza kujifunza jinsi ya kuondokana na Negative thinking. Mimi nimejifunza kitu kikubwa hapa, Kwamba mtu anapoamua kujifunza kubadilisha mawazo mabaya aliyonayo juu ya kitu chochote , sio tu atajisikia vizuri bali tabia inabadilika pia

Kutengeneza tabia nzuri ni ngumu , lakini kuishi tabia nzuri ni rahisi. Na kutengeneza tabia mbaya ni rahisi lakini kuishi tabia mbaya ni ngumu kupita kiasi. Wazazi wengi wanalea watoto kimayai , wanasahau kuwa kiburi cha mtoto kinaanzia akiwa na umri wa miaka 3. Hapo usimnyime mtoto fimbo kila anapokosea. Ni vizuri kuanza kujenga misuli ya akili inayofikiri mazuri mapema.

Jinsi Gani Unaweza Kubadilisha Mawazo Mabaya.

Mawazo haya husimamia hapa; Kujilaumu, kutazama Habari mbaya, Huzuni ya kuotea, mawazo mabaya juu ya wengine, kazi , biashara, mahusiano. Usipokuwa makini unaweza kufikiri ni mawazo mazuri lakini sio. Tambua ni jinsi gani mawazo mabaya yanavyokuja kwako.

1.Kujilaumu. Mahali ambapo unatakiwa kuchukua jukumu lako na kujiona kuwa huwezi kutimiza lengo kutokana na tatizo la kiakili ndani yako ni kutokujua kutumia muda wako vizuri. Kila kitu utakuwa unaona kama unaharibu. Jaribu kutazama muda ulionao na ule ambao umetumia unapokuwa unajilaumu utagundua kuwa kuna tatizo ndani yako mwenyewe.

2.Kutazama Habari Mbaya; Kama kuna mambo tisa mazuri yametokea kwa siku, Utaona jinsi inavyokuwa rahisi kufuatilia lile moja baya badala ya kufuatilia mengi mazuri. Lakini tambua kuwa kuzamia kwenye mawazo hayo mabaya yatakukwamisha kwenye giza kubwa na ukiwa na utupu mkubwa. Ni muhimu kurudi kwenye mazuri kila mara unapoona dalili hio mbaya. Rudi kwenye Nuru.

3.Huzuni Ya Kuotea. Hata kama hujui ni kitu gani kitatokea kesho, Ni vizuri kjijengea tabia ya kuwaza mema kila mara. Muombe Mungu kila siku akujaze Tunda la roho ndani mwako. Neno la Mungu Linasema kuwa Katika Mathayo 7:7 Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, Bisheni nanyi mtafunguliwa. Kama unaona upungufu wa kitu ndani yako muombe Mungu. Yakobo 1:5. mtu wa kwenu akipungukiwa na …. Na aombe Dua kwa Mungu awapaye wote kwa ukarimu.

Huenda unakuwa na wasiwasi wa kutokupandishwa cheo, kutokupata wateja, kuharibika kwa mahusiano, kutokupona ugonjwa ulionao, Huzuni ya kuotea isikuharibie utabiri wako mzuri kwa ajili ya kesho yako.

4.Kujishusha Hadhi; Kujisemea maneno mabaya mwenyewe, mfano umeenda kwenye usaili na kujiona kama umefanya vibaya kabla ya matokeo au kujishawishi mwenyewe kuwa huwezi kupata kazi . Kwa jinsi unavyozidi kuwaza mabaya ndivyo unavyojishusha chini zaidi. Na jinsi unavyojisikia vibaya unashindwa kuwaza mazuri.

Kitu Gani Cha Kufanya Mara Unapoona Hali Hio Inakupata.

Mara tu unapotambua hali hio inakutokea . Haraka sana Angalia muda wako unatumiaje, Isije ikawa akili yako imekuwa karakana la Adui . Akili ikiwa bize huwezi kuwaza mabaya. Jiulize mwenyewe kama Unawafanyia watu kile ambacho unapenda wewe ufanyiwe? Ukiwa unajiwazia mabaya mwenyewe, utafungulia mlango wa watu kukuwazia mabaya pia. Jiulize kama ungeweza kusema nini kwa rafiki ambaye ana tatizo kama hilo?

Fanya mchakato mpya wa kusave pesa za kutosha kwa ajili ya baadae.

Thubutu leo kujisemea maneno mazuri , na ukumbuke kuwa kujenga tabia nzuri sio siku moja, kwa hio usikate tamaa, dhamiria kubadilika. Inawezekana.

Tambua kuwa kuwekeza inahitaji juhudi kubwa. Kubadilika kimwili inategemea sana mabadiliko ya kiroho . Ubongo wako unakusubiri wewe kufanya maamuzi ya kitu gani unataka katika maisha yako.
 
Jifunze Sheria Za Muda.zipo sheria nyingi lakini leo nakuletea baadhi tu kati ya sheria hizo.

Ukithamini muda utayathamini maisha yako. Huwezi kumpendeza Mungu kama unatumia Muda Vibaya. Dhambi nyingi zinatendeka kwenye Muda .

Mafanikio yako yatapatikana kwenye muda.Msingi wa thamani yako ni Muda.Amani ipo kwenye Muda.Muda una nguvu kuliko wewe. Watu ambao wanajua siri hii wamefanikiwa .Ukitaka utoke mahali ulipo jifunze sheria hizi za muda.

1.Ukitaka kuwa Tajiri tumia Muda wa mtu mwingine sio kutafuta pesa.

2.Akili ya Mwanadamu ina uwezo mkubwa , ina uwezo wa kubeba taarifa kuanzia Dakika 45 na kuendelea .

3.Jifunze kuzihesabu siku zako sio miaka.

kama una miaka 50, fahamu kuwa una siku 18,250. kama una miaka 45 utakuwa na siku 16,425, miaka 40 ni siku 14,600, miaka 35 ni siku 12,775 tu, miaka 30 ni siku 10,950 tu , miaka 25 ni siku 9125 tu, miaka 20 ni siku 7300 tu. sasa hapo kuna haja gani ya kujikatia tamaa. fanya kazi kwa bidii.

4.Kila dakika tambua kuwa ina maana kubwa kwako.

5.Komboa Wakati. Usienende kama watu wasio na akili bali kama mtu mwenye Akili.

6.Kila kitu kina Muda wake.

7. Seed time and Harvest. Mbegu, Muda na mavuno

8.Kila kitu kimetengenezwa kwa kutumia Muda. Tumia muda

9.Utavuna ulichokipanda.

Kuwa makini na unachoongea, unachotazama, unachosikia.

10.Muda ndio msaidizi wa Mungu. Kila unachokifanya unaangalia Muda.

11.Sifa kubwa ya Muda , Unakufa haraka

12.Huwezi kuweka muda kama akiba kabatini

13.Utajiri na heshima viko kwenye Muda

14.Kumtumikia Mungu inalipa.

15.Aliye mwaminifu kwenye kidogo huwa mwaminifu kwenye kikubwa pia

16.Tumia Muda kumpenda Mungu na kuwapenda watu na kuipenda nafsi yako

17.Mungu ni Alpha na Omega

18.Dunia ina mwendo kasi.

19.Imani Ni Sasa. Sasa ni Muda

20.Miliki saa ya mkononi, ukutani, miliki kalenda

21. keep time

22.Be on time

23.Anza na muda

24.Fika kwa wakati

25.Maliza kwa muda

26.Mshukuru Mungu muda wote

27.Msifu Mungu

28.Mwabudu Mungu

29.Vumbua kazi ya Mungu aifanyayo ndani yako Mwanzo hata mwisho. Muda.

30.Jifunze kuwepo mahali sahihi, Muda sahihi, watu sahihi na jambo sahihi.
 
Numbisa habari ya wewe
 
Ameni barikiwa Numby
 
TUOMBE:Baba yetu na Mungu wetu Tunakushukuru sana kwa yote unayotutendea,Asante kutuamsha salama leo tarehe 17 Jumatatu Septemba 2018 Tunaomba endelea kutusamehe, kutupigania ..ponya wagonjwa ,ponya mioyo iliyopondeka ..angalia wajane,wagane ,yatima na waliopoteza tumaini tusaidie tuweze kusema ndiyo kwa upendo wako mkuu na kukutumainia .
Tuimarishe imani zetu na endelea kutuongoza mioyo yetu ikutukuze wewe.
Tunaomba utusaidie katika mapito yetu imarisha uchumi wetu,bariki kazi za mikono yetu zizae matunda ya kukupendeza .
Wasaidie watoto na wajukuu wetu wakujue na kukutegemea wewe tu ,wakukabidhi maisha yao yote..wakupende na kuujua upendo wako wa milele.
Asante Baba kwa msamaha na huruma yako Mungu wetu umekua kimbilio letu na haujawahi kutuacha.endelea kuwafariji wafiwa,wenye changamoto mbalimbali tusaidie tuimarike katika kukutegemea.Roho Mtakatifu kaa nasi siku zote za maisha yetu Adui ashindwe katika jina la Yesu Kristo Damu ya Yesu inene mema katika kila tunalopitia tunaomba na kuamini katika jina la Yesu Kristo Amen.

JUMATATU NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
Asante sana kwa sala nzuri. Yote yakawe kama ulivyoomba na mapenzi ya Mungu yakatimizwe kwetu
 
Nawatakia kila mmoja kwa nafasi yake, wiki njema yenye mafanikio. Hapa ni sehemu nzuri kwa sababu wewe mdau wa Jukwaa hili upo hapa
great_week_sunset.gif
 
Wachunguzi wamegundua kitu kinachowafanya watu wabaya kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliko watu wale ambao ni watiifu.

Unapokuwa kwenye mahusiano mabaya na mtu, kitu unachohitaji ni kukimbia, ingawa ubaya huo unaweza kuwepo upande wako. Kama bosi wako ni mtu mbaya, itakuwa ngumu kwako kupona bila ya kujitoa muhanga kufanya kazi kwa bidii na kwa umakini ili uweze kuendelea kubaki kazini. Itakugharimu kufanya kazi nyingi bila ya malipo ya ziada.Sio kwamba kazi nyingi kiasi hicho ili kukufanya uone hali ya hewa mbaya ulingane na wengine wote.

Huwa tunafikiri kwamba watu wabaya wana tabia ya kuwaza mabaya kila wakati na hupenda kurudisha watu nyuma. kwenye mahusiano ya karibu huwa wanakufanya ujione hauko sahihi kila wakati. Hata kazini pia hivyo hivyo utakuwa unawaza kukosa kazi kama ukilalamikia bosi. Wana nguvu kubwa, wanajua wanaweza kukufanya uone kuwa maisha ni mabaya. marafiki na familia watakuona mtu mwenye stress na huzuni nyingi. Utakuwa unateseka kiakili na kimwili pia.

Unaweza kuwa unashangaa kwa nini watu hawa wabaya wanafanikiwa? Inaonyesha kuwa ufunguo wa mafanikio ya watu hawa upo kwenye tabia zao za UONGO ndani ya mpangilio wao wa akili zenye ujuzi mkubwa wa kudanganya watu wengine wajione hawafai.

Mimi nimewaona hata wewe unawaona kila siku. ni watu ambao wanacheza na wenye vyeo vikubwa. huenda kuchongea wengine waonekane wabaya ili wao wapande vyeo. mara zote wako macho kuhakikisha wanafanikiwa bila kushindwa.

Wakiwa katilka nafasi za juu maamuzi yao huwa ya kibinafsi, ni wadanganyifu, na waongo. Unaweza ukawa unafikiri kuwa ipo siku watashindwa, lakini watu hawa mara nyingi wanazidi kupandishwa cheo na kuongezewa mshahara.

Sababu kubwa inayowafanya watu hawa wafanikiwe ni kutokana na mabosi wao kupitia njia kama za kwao. Walifanikiwa kwa uongo na utapeli mkubwa hadi kufikia mahali walipo. Wanawapenda watu ambao wana tabia kama zao.

Ukweli nikwamba Nuru Na Giza Haviwezi kukaa pamoja. Kwa kuwa Nuru ikiwepo giza hutoweka, na mahali penye Giza hakuna Nuru. Kama wewe unafanya kazi na watu wa aina hii ni ngumu kufanikiwa. Labda kama shirika linahitaji watu waaminifu utaweza kupona. Kumbuka wakati mwingine shirika huhitaji watu wabaya kwa kutaka kujulikana pasipo halali au kukata kazi zifanyike kwa njia watakazo wao.

Utafanyaje kama utajua uko mahali penye sumu kama hio? Watu wenye utu wa giza. Ni bora kufanya utaratibu wa kutafuta mahali kwingine, vinginevyo utafanyiwa vibaya , utafanya kazi zako kwa shida. Kama unaweza kucheza mchezo wenye nguvu. cheza na Mungu mwenye nguvu, Simama katika kweli, fanya kazi zako vizuri kila siku. jijengee utu wako vizuri , uwe jasiri, uwe na imani, tafuta maarifa ya kutosha , onyesha upendo. Usiende kushoto wala kulia, baki na Mungu Hapo utashinda.

Jitosheleze kazini , vilevile hata katika mahusiano, usiige ubaya, funika ubaya kwa wema. Hukuumbwa na hofu wala woga, kufanikiwa kwako ni lazima, usiteseke na mtu . Uwezo ulionao ni mkubwa huhitaji kuteseka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom