Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
JE KONOKONO HULIWA ?
Pasina mashaka nchi kama China, France, Spain, ureno na Ghana konokono ni mlo safi tuu, husaidia mwili kupata protein, vitamin b12 sambamba na madini ya chuma, hivyo hii yaweza kuwa fursa kwako pia endapo utaona watu wa mataifa hayo nchini ukitengeneza supu ya konokono utapiga hela tuu.
Lakini pia utafiti unaonesha mwanaume ambaye anaweza kulamba sehemu za siri za mwanamke ana uwezo mkubwa wa kumla konokono, kwani ulaini na muonekano wa uke wakati tukio hilo lifanyikapo hupata ufanano kwa kiasi kikubwa na muonekano wa konokono mwenyewe.
Mbali na faida hiyo inayoweza patikana kutokana na kutengeneza soup ya konokono, pia wapo konokono wazuri kwa rangi ambao hufanywa kama mapambo, na mwisho hapa kwetu konokono hutumiwa na waganga wa kienyeji, ambapo gamba lake hutolewa na kutwanga na utalamu wao mwingine, baada ya hapo akipewa unga huo mwanamke akamwagia katika nyayo za mwanaume aliyeoa, mwanaume huyo kurudi kwa familia yake atakuwa mzito sana na yawezekana ndio akaitelekeza familia yake jumla.

Nimependa utafiti wa kwanza
...ndiyo mimi ni mkubwa ila Ijumaa nakuwaga kijana wa makamo. Navaa jeans na Tshirt yaani very casual bila kusahau kajacket ka kufichia kitambi
![]()

Utakuwa pacha wa anko wangu Malcom Lumumba
JE KONOKONO HULIWA ?
Pasina mashaka nchi kama China, France, Spain, ureno na Ghana konokono ni mlo safi tuu, husaidia mwili kupata protein, vitamin b12 sambamba na madini ya chuma, hivyo hii yaweza kuwa fursa kwako pia endapo utaona watu wa mataifa hayo nchini ukitengeneza supu ya konokono utapiga hela tuu.
Lakini pia utafiti unaonesha mwanaume ambaye anaweza kulamba sehemu za siri za mwanamke ana uwezo mkubwa wa kumla konokono, kwani ulaini na muonekano wa uke wakati tukio hilo lifanyikapo hupata ufanano kwa kiasi kikubwa na muonekano wa konokono mwenyewe.
Mbali na faida hiyo inayoweza patikana kutokana na kutengeneza soup ya konokono, pia wapo konokono wazuri kwa rangi ambao hufanywa kama mapambo, na mwisho hapa kwetu konokono hutumiwa na waganga wa kienyeji, ambapo gamba lake hutolewa na kutwanga na utalamu wao mwingine, baada ya hapo akipewa unga huo mwanamke akamwagia katika nyayo za mwanaume aliyeoa, mwanaume huyo kurudi kwa familia yake atakuwa mzito sana na yawezekana ndio akaitelekeza familia yake jumla.
Mimi ni mrefuuu sana na sina kitambi sasa!
...mimi ndo maana nakupendaga wewe, Ijumaa ni siku ya salamu fupi fupi. Unakunywaga kinywaji gani? Usiogope gharama
hcho kinywaji utanilipia binamuMimi ni mrefuuu sana na sina kitambi sasa!
Hahahahaha

...namba 8 ni muhimu, unakuta unaanzisha entity na unaipa jina Wamandavaku (unalikumbuka hili jjina la kina mandojo/Domokaya), utafanikiwa tu ikiwa utakuwa na upekee na mtaji wa maana usimame miaka mitatu mwenyewe ila kama ndo unaanza kutegemea 'watu' wadau basi kuwa na jina lenye mvuto, rahisi kutamkika kutakupa point nyingi za kukuweka kwenye biashara.
Asante
Khaaaaa...itabidi nimtafute konokono nimuinue nione kama ana mavuzi na criti
Anko ujue nimekufananisha kwenye mavazi tu aliyosema amevaaMimi ni mrefuuu sana na sina kitambi sasa!
Hahahahaha
![]()
![]()
![]()
hcho kinywaji utanilipia binamu
Niko hapa

hamna bana ni ule ulaini wake ndo wanaufananisha na pale kati patamu...itabidi nimtafute konokono nimuinue nione kama ana mavuzi na criti
Wewe mwenyewe mbona mbahili binamu...hongera sana basi utakuwa hujui kuhonga kabisa, pole sana
Season 1 tuliisoma entertainment au ni ipii hiyo jamani ya sasa ujue ni kikosi cha siri

Mm hapa baby daddyKuna mtu sijampa like!?..
Woyoooooooohamna bana ni ule ulaini wake ndo wanaufananisha na pale kati patamu