Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ebu acha ubahili wako wick mwanaume unatakiwa ucheze nafasi yako mwanamke awe na kazi au asiwe na kazi sio mpaka uombwe

Mm jamani kama unasubiria nikuombe utasubiri mpaka Yesu arudi kuomba siwezi mm na ujanja wako wote kama hunipi ndio ushajipatia mbebeza wa kumkula bila hata kumuhudumia siku moja moja

Acha nilale jamani
Nah haimaanishi sitakuwa natoa bila kuombwa, ila labda sijaelewa mnaposema natakiwa nisiombwe nitoe tu ina maana kila siku/wiki/mwezi natoa tu hela!?. Mara moja moja kumpa as kanunue vitu vyako or kaspend ni kawaida but najisikia vizuri nikinunua kitu kumpa. Ila hela nataka aniombe mwenyewe.
Hapo najua kweli ana shida mpaka kaniomba!. Ubahili navyoona ni kumwambia sina kila akiomba sio kutompa kama hajaniomba!
 
Semaa ukweliiiii nikupitieeeeeeee nikupelekeee ngarenarooo oooooh ooh mama ...

Nipo nakula nikipendachoooo hapa
Wewe utanijaza bana kama vipi niwe na uhakika unakuja nitumie hela kabisa

Kuna chimbo hilo naendaga kula mishkaki mishkaki ya nundu mmoja elf 1500 acha kabisa mitamu
 
Nah haimaanishi sitakuwa natoa bila kuombwa, ila labda sijaelewa mnaposema natakiwa nisiombwe nitoe tu ina maana kila siku/wiki/mwezi natoa tu hela!?. Mara moja moja kumpa as kanunue vitu vyako or kaspend ni kawaida but najisikia vizuri nikinunua kitu kumpa. Ila hela nataka aniombe mwenyewe.
Hapo najua kweli ana shida mpaka kaniomba!. Ubahili navyoona ni kumwambia sina kila akiomba sio kutompa kama hajaniomba!
Hapo sasa tupo pamoja wick mm nazungumzia hiyo ya mara moja kumpa ndio point yangu

Ila kumuomba mwanaume pesa ni kipaji jamani wengine hatuna na ukiona nimekupigia simu nakuomba hela uwiiiiiiiiiii juwa kweli yamenifika hapa yaani hiyo shida ni kubwa sana

Tupo pamoja sasa
 
Wewe utanijaza bana kama vipi niwe na uhakila unakuja nitumie hela kabisa

Kuna chimbo hilo naendaga kula mishkaki mishkaki ya nundu mmoja elf 1500 acha kabisa mitamu
Daaaaah kuna ile ya pale fish fish itanifirisiiiii

Alafu kuna chimbo la ndani kile kitu wanakianda hadi raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom