Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani jamani mbona Wick wangu mbahili hivi khaaaaa SHIMBA YA BUYENZE View attachment 867140
Kama bro bado mbahili basi jua kuwa hujamfikisha anapotaka afike. We endelea na safari tu wala usikate tamaa. Ukimfikisha unakotaka kumpeleka mwenyewe utaleta mrejesho hapa. Hakuna mwanaume mkarimu, mpole, anayejua kujali na mwenye ubinadamu kama Msukuma !!! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
 
3be26b93-df15-4933-8772-6fcc18771da5.jpg
 
Kama bro bado mbahili basi jua kuwa hujamfikisha anapotaka afike. We endelea na safari tu wala usikate tamaa. Ukimfikisha unakotaka kumpeleka mwenyewe utaleta mrejesho hapa. Hakuna mwanaume mkarimu, mpole, anayejua kujali na mwenye ubinadamu kama Msukuma !!!
Uwiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we shimba mm natania tu woiiiii usije ukajua serious eti sijamfikisha anapotaka khaaaa
 
Uwiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we shimba mm natania tu woiiiii usije ukajua serious eti sijamfikisha anapotaka khaaaa
Hata mimi najua kuwa ni utani. Mtandaoni humu sichukuliagi mambo siriazi unless kama ni ishu za kumzindua mtu [emoji16][emoji16][emoji16]. Wewe Shunie wewe basi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata za kumzindua mtu ni utani pia shimba jf tunajifurahisha tu nipo huku mm nalea yaan naitwa bibi nikiingia jf nakuwa mwingine
Hata mimi najua kuwa ni utani. Mtandaoni humu sichukuliagi mambo siriazi unless kama ni ishu za kumzindua mtu [emoji16][emoji16][emoji16]. Wewe Shunie wewe basi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom