Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_2018-09-15-14-46-02.png
 
sasa kwanini unaniita bahili kama kuiba hupendi!?..
Siwezi kuiba siwezi kuomba kama huwezi nipa hela wewe mwenyewe basi mwanaume unatakiwa ujue wajibu wako kwa mpenzi wako au mkeo unatakiwa umpe pesa sio mpaka uombwe wengine hatuwezi kuomba kabisa
 
Patamuu hapo...sisi tukiomb mnadaii waume wa dashalamu
 
Ila si inategemea na status ya mtu!?.. Akiwa wa nyumbani kweli hautakiwi ombwa ila kama ni mtoto wa mjini n' anajiweza basi hakuna haja ya kujiongeza hela bila ombwa!.. Vya kujiongeza zawadi.
 
me bebe zinazojielewa siwezi jiongeza toa hela!.. akiwa na shida aniombe mwenyewe sababu najua shes a fighter ataniomba atakapo shindwa!.
Ila vitoto vya chuo au hawa home grown ndio najiongeza as vinaogopa maybe
 
Ebu acha ubahili wako wick mwanaume unatakiwa ucheze nafasi yako mwanamke awe na kazi au asiwe na kazi sio mpaka uombwe

Mm jamani kama unasubiria nikuombe utasubiri mpaka Yesu arudi kuomba siwezi mm na ujanja wangu wote kama hunipi ndio ushajipatia mbebeza wa kumkula bila hata kumuhudumia siku moja moja

Acha nilale jamani
 
nyege haina mwenyewe sio mwanamke sio mwanaume anayejisikia atamwambia mwenzake

Kesho na hamu ya kulewa mm jamani nataka kulewaaaaa nataka kulewaaaaa.
Semaa ukweliiiii nikupitieeeeeeee nikupelekeee ngarenarooo oooooh ooh mama ...

Nipo nakula nikipendachoooo hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom