Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Hizo kucha hadi nimepiga chafya loooh
.....nimeisikia hata hapa. Chafya ni afya. Uko swaaalama lakini binamu
Hizo kucha hadi nimepiga chafya loooh
![]()
![]()
![]()
![]()
nabakiza za kuona taa barabaran make 30 unajipatia bia zako za kutosha
Kwani ulikuwepo?...ni wewe ndo ulikuwa unakata mauno pale kwenye bia za promosheni?
Hahahhaha sawa binamuu.....nimeisikia hata hapa. Chafya ni afya. Uko swaaalama lakini binamu

Nilikumiss mkuuKuna nn tena,naona umeniita?
Kwema MkuuNilikumiss mkuu
Vp kwema
A-a hiyo nayo si salamu ndugu yanguAta salam hamna?
Shikamoo
Shikamoo mkuuHabari ya asubuhi family ya makapuku forum
Hahahhaha sawa binamuu
Me niko salama tu binamu yangu hofu juu yako binamu nyama ya hamu![]()

Amina mpenzJumapili njema wapendwa katika kristo
Haya sisy barikiwaaAmina mpenz
Marhabaaaaaaa jambo toto!shkamoo