Makapuku Forum

Makapuku Forum

USIANZISHE BIASHARA KABLA HUJAFANYA HAYA KUMI.

1.Fanya utafiti wa kutosha juu ya biashara unayotaka kuazisha sio tu kwa kuwa kuna mtu unayemjua amefanikiwa kutokana na biashara hiyo. Pia hakikisha unajua ni nini utakifanya endapo biashara hiyo itaanguka ghafla.

2.Uwe tayari kufanya maamuzi magumu! Daima kuwa mtu wa kuthubutu na usiogope hasara kwani mafanikio huanza kwa taratibu na hasara ni njia moja wapo ya kujifunza na kuendelea mbele katika biashara.

3.Mafanikio huanza kwa kiasi kidogo cha fedha, usiache kuthubutu kwa kuwa tu, hauna mamilioni ya pesa ya kuanzia kama mtaji. Siku zote hakikisha una fedha za dharula na kamwe usitumie fedha ya mtaji kwa matumizi mengine

4.Jitahidi kadri ya uwezo wako kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambayo yatapelea kuharibu mtaji wako ulioanza nao.

5.Unapokuwa unafanya mpango mkakati wa fedha jitahidi matumizi yako uyawekee makadirio ya juu na kipato chako ukiwekee makadirio ya chini.

6.Kama unataka kufanya biashara na huduma ambayo kuna wengine wanafanya, hakikisha biashara yako iwe na ubora wa hali ya juu ukilinganisha na watu wengine, na ujue wanakosea wapi na utafanya nini cha tofauti la sivyo utakuwa nyuma yao milele kwani kinachowavuta watu kuja kununa kwako ni utofauti kati yako na wapinzani wako na sio tu kwa kuwa bidhaa unayo.

7.Fanya utafiti sokoni kujua watu wanazichulia vipi bidhaa au huduma unayotaka kutoa ili kuweza kujua wapi unakosea na kujirekebisha mapema iwezekanavyo ili kuendelea kutengeneza mahusiano mazuri na watu.

8.Hakikisha jina la biashara yako linamvuto na kukubalika katika jamii husika. Pia Jihusishe na watu mbalimbali walioendelea katika ujasiliamali ili uweze kupata mawazo mbalimbali na mbinu mpya za kuweza kufanikiwa katika ujasiliamali.

9.Andika! Mali bila daftari huisha bila habari. Daima tunza kumbukumbu zako katika maandishi

10.Tafuta kitu kitakachokuwa na ushawishi wa hali ya juu kwa wakati huo katika eneo husika, ukitumie kama njia ya kujitangaza. ukifanikiwa katika hilo basi utajijengea channel kubwa na watu wengi watakujua na hiyo itakurahisishia safari ya kufahamika kwa biashara yako.
...namba 8 ni muhimu, unakuta unaanzisha entity na unaipa jina Wamandavaku (unalikumbuka hili jjina la kina mandojo/Domokaya), utafanikiwa tu ikiwa utakuwa na upekee na mtaji wa maana usimame miaka mitatu mwenyewe ila kama ndo unaanza kutegemea 'watu' wadau basi kuwa na jina lenye mvuto, rahisi kutamkika kutakupa point nyingi za kukuweka kwenye biashara.
Asante
 
FAHAMU KONOKONO.
* Je wajua hakuna konokono dume wala jike ?
Konokono ni kiumbe hai asiye na uti wa mgongo, kama ilivyo kwa kobe, konokono pia huwa na gamba mgongoni kwake, gamba ambalo huuficha mwili wake pindi anapohisi mazingira ya hatari, kichwani kwake ana minara minne (antenna) ambapo Mbili za juu huwa ndefu kuliko za chini, pamoja kwamba konokono ana macho lakini ni dhaifu sana katika kuona, antena za juu ndio ambazo hubeba macho na za chini ni kwa ajili ya kuhisi kwani macho yake hutangulizwa mbele zaidi kuliko mwili, hivyo nafasi ambayo hubakia antena za chini ndio hufanya kazi ya kuepusha mwili kuingia katika tatizo.
Konokono ni viumbe wanaomiliki jinsia mbili yaani huyo huyo ni jike na huyo huyo ni dume, utajiuliza sasa inakuwaje kwenye nanii ! Maana najua niliposema tuu hivyo ubongo wako umepitiliza huko kwenye nanii ! Iko hivi si kwamba kwa umiliki wa jinsia hizo basi ndio hujitosheleza mwenyewe kimahaba, hapana konokono nao hukutana wawili na ambaye mwili wake utakuwa na joto ndiye atabeba jukumu la kutaga, kwa taarifa yako konokono hutaga mayai zaidi ya 70, chakula chao kikuu huwa majani hususani mboga mboga, matunda ikiwa ni pamoja na mimea iliyooza.
 
Kwa mwendo konokono hutembea taratibu sana, na kutokana na mwili wake kuwa mlaini ili asiumie anapotembea hutanguliza ute ute chini, pindi anapouvuta mwili wake asipate kuumia, na ute ute huo hufanya kutengeneza alama ya njia aliyopita, konokono huwa na uzito wa gram zipatazo 5 na kuendelea, na urefu wao huwa inchi zipatazo 7 na kuendelea, ukiondoa hayo muujiza wa konokono ni kwamba ana maisha marefu huishi zaidi ya miaka 10.
Kimsingi konokono wapo wa aina tatu wapo wa nchi kavu, maji baridi na maji ya chumvi, maisha yao huathiriwa sana na viumbe wafuatao kwakuwa huwatumia kama chakula, viumbe hao ni pamoja na ndege,panya, Kobe,binadamu, mijusi nk.
Konokono mwendo wake ni taratibu sana mpaka sasa hakuna ushahidi wa kutosha kuonesha kwamba kuna konokono aliyewahi kuvuka salama barabara, mwendo wao ni wa kusua sua sana, utafiti unaonesha ya kwamba ili aweze kumaliza umbali wa kilometer moja anahitaji wiki moja na siku mbili.

SIFA ZA KONOKONO.
1. wana uwezo mzuri wa kutizama usiku kuliko mchana.
2. Ni ngumu sana kujua jike ni yupi na dume yupi hiyo yote ni kwa sababu jinsia zote kila konokono anazo.
3. Konokono anapotaga baada ya kutotoa, magamba ya mayai hula na ambayo hayatatotolewa huliwa na watoto wake.
4. Konokono hawasikii kabisa, hivyo hujiongoza kwa kunusa .
5. Ukimmwagia chumvi konokono anayeyuka kabisa na kupotea, hivyo kama wamevamia kwako mwaga maji ya chumvi tuu.
6.konokono huweza kutembea gamba lake akiweka juu au likiwa chini na akatembea pasina ya tatizo lolote.
7. Kiumbe huyu pengine ndiye mwenye meno mengi kuliko wengine, watafiti hudai ana meno yanayozidi elfu moja.
8. Konokono ni kiumbe asiyekula nyama kabisa, hivyo akikupanda mwilini kwa bahati mbaya mtoe kistaarabu hawezi kukuuma.
9. Konokono hupendelea mazingira machafu na yenye giza yenye unyevu nyevu.
10. Konokono huweza kuufupisha mwili wake ajifichapo katika gamba lake, na baada kilichosabisha ajihami kutoweka hutoa tena mwili wake.
 
JE KONOKONO HULIWA ?
Pasina mashaka nchi kama China, France, Spain, ureno na Ghana konokono ni mlo safi tuu, husaidia mwili kupata protein, vitamin b12 sambamba na madini ya chuma, hivyo hii yaweza kuwa fursa kwako pia endapo utaona watu wa mataifa hayo nchini ukitengeneza supu ya konokono utapiga hela tuu.

Lakini pia utafiti unaonesha mwanaume ambaye anaweza kulamba sehemu za siri za mwanamke ana uwezo mkubwa wa kumla konokono, kwani ulaini na muonekano wa uke wakati tukio hilo lifanyikapo hupata ufanano kwa kiasi kikubwa na muonekano wa konokono mwenyewe.

Mbali na faida hiyo inayoweza patikana kutokana na kutengeneza soup ya konokono, pia wapo konokono wazuri kwa rangi ambao hufanywa kama mapambo, na mwisho hapa kwetu konokono hutumiwa na waganga wa kienyeji, ambapo gamba lake hutolewa na kutwanga na utalamu wao mwingine, baada ya hapo akipewa unga huo mwanamke akamwagia katika nyayo za mwanaume aliyeoa, mwanaume huyo kurudi kwa familia yake atakuwa mzito sana na yawezekana ndio akaitelekeza familia yake jumla.
 
Aisee
Kwenye kimiliki jinsia mbili hana tofauti na mnyoo
FAHAMU KONOKONO.
* Je wajua hakuna konokono dume wala jike ?
Konokono ni kiumbe hai asiye na uti wa mgongo, kama ilivyo kwa kobe, konokono pia huwa na gamba mgongoni kwake, gamba ambalo huuficha mwili wake pindi anapohisi mazingira ya hatari, kichwani kwake ana minara minne (antenna) ambapo Mbili za juu huwa ndefu kuliko za chini, pamoja kwamba konokono ana macho lakini ni dhaifu sana katika kuona, antena za juu ndio ambazo hubeba macho na za chini ni kwa ajili ya kuhisi kwani macho yake hutangulizwa mbele zaidi kuliko mwili, hivyo nafasi ambayo hubakia antena za chini ndio hufanya kazi ya kuepusha mwili kuingia katika tatizo.
Konokono ni viumbe wanaomiliki jinsia mbili yaani huyo huyo ni jike na huyo huyo ni dume, utajiuliza sasa inakuwaje kwenye nanii ! Maana najua niliposema tuu hivyo ubongo wako umepitiliza huko kwenye nanii ! Iko hivi si kwamba kwa umiliki wa jinsia hizo basi ndio hujitosheleza mwenyewe kimahaba, hapana konokono nao hukutana wawili na ambaye mwili wake utakuwa na joto ndiye atabeba jukumu la kutaga, kwa taarifa yako konokono hutaga mayai zaidi ya 70, chakula chao kikuu huwa majani hususani mboga mboga, matunda ikiwa ni pamoja na mimea iliyooza.
 
Lakini si ni mkubwa jamani

...ndiyo mimi ni mkubwa ila Ijumaa nakuwaga kijana wa makamo. Navaa jeans na Tshirt yaani very casual bila kusahau kajacket ka kufichia kitambi

b6b4292ab790ba56d997cbff83c0dc43.gif
 
Nikiwaonaga hawa wakati wa mvua mpaka nasisimka hiyo no 5 nitaifanyia kazi nione jinsi wanavyoyeyuka
Kwa mwendo konokono hutembea taratibu sana, na kutokana na mwili wake kuwa mlaini ili asiumie anapotembea hutanguliza ute ute chini, pindi anapouvuta mwili wake asipate kuumia, na ute ute huo hufanya kutengeneza alama ya njia aliyopita, konokono huwa na uzito wa gram zipatazo 5 na kuendelea, na urefu wao huwa inchi zipatazo 7 na kuendelea, ukiondoa hayo muujiza wa konokono ni kwamba ana maisha marefu huishi zaidi ya miaka 10.
Kimsingi konokono wapo wa aina tatu wapo wa nchi kavu, maji baridi na maji ya chumvi, maisha yao huathiriwa sana na viumbe wafuatao kwakuwa huwatumia kama chakula, viumbe hao ni pamoja na ndege,panya, Kobe,binadamu, mijusi nk.
Konokono mwendo wake ni taratibu sana mpaka sasa hakuna ushahidi wa kutosha kuonesha kwamba kuna konokono aliyewahi kuvuka salama barabara, mwendo wao ni wa kusua sua sana, utafiti unaonesha ya kwamba ili aweze kumaliza umbali wa kilometer moja anahitaji wiki moja na siku mbili.

SIFA ZA KONOKONO.
1. wana uwezo mzuri wa kutizama usiku kuliko mchana.
2. Ni ngumu sana kujua jike ni yupi na dume yupi hiyo yote ni kwa sababu jinsia zote kila konokono anazo.
3. Konokono anapotaga baada ya kutotoa, magamba ya mayai hula na ambayo hayatatotolewa huliwa na watoto wake.
4. Konokono hawasikii kabisa, hivyo hujiongoza kwa kunusa .
5. Ukimmwagia chumvi konokono anayeyuka kabisa na kupotea, hivyo kama wamevamia kwako mwaga maji ya chumvi tuu.
6.konokono huweza kutembea gamba lake akiweka juu au likiwa chini na akatembea pasina ya tatizo lolote.
7. Kiumbe huyu pengine ndiye mwenye meno mengi kuliko wengine, watafiti hudai ana meno yanayozidi elfu moja.
8. Konokono ni kiumbe asiyekula nyama kabisa, hivyo akikupanda mwilini kwa bahati mbaya mtoe kistaarabu hawezi kukuuma.
9. Konokono hupendelea mazingira machafu na yenye giza yenye unyevu nyevu.
10. Konokono huweza kuufupisha mwili wake ajifichapo katika gamba lake, na baada kilichosabisha ajihami kutoweka hutoa tena mwili wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom