Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahhhah binamu sasa umewaza nini hapo
..sawa mpenzi, ubarikiwe nawe pia
..sawa mpenzi, ubarikiwe nawe pia
Bora hapo katokelezea,hapa ni shiidaaView attachment 866389

...aliyempata siku hizi anahitaji kupongezwa sana. Yaani binamu yangu huyu kawa kama katiwa ndimu ya unga
Bora hapo katokelezea,hapa ni shiidaaView attachment 866389

bora wewe unakimbia yanaisha,mie ntaota kabisaYaan kiumbe alichovaa kuanzia juu mpaka chini ninavyokiogopa mm ningekutana naye paaap namkimbia
USIANZISHE BIASHARA KABLA HUJAFANYA HAYA KUMI.
1.Fanya utafiti wa kutosha juu ya biashara unayotaka kuazisha sio tu kwa kuwa kuna mtu unayemjua amefanikiwa kutokana na biashara hiyo. Pia hakikisha unajua ni nini utakifanya endapo biashara hiyo itaanguka ghafla.
2.Uwe tayari kufanya maamuzi magumu! Daima kuwa mtu wa kuthubutu na usiogope hasara kwani mafanikio huanza kwa taratibu na hasara ni njia moja wapo ya kujifunza na kuendelea mbele katika biashara.
3.Mafanikio huanza kwa kiasi kidogo cha fedha, usiache kuthubutu kwa kuwa tu, hauna mamilioni ya pesa ya kuanzia kama mtaji. Siku zote hakikisha una fedha za dharula na kamwe usitumie fedha ya mtaji kwa matumizi mengine
4.Jitahidi kadri ya uwezo wako kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambayo yatapelea kuharibu mtaji wako ulioanza nao.
5.Unapokuwa unafanya mpango mkakati wa fedha jitahidi matumizi yako uyawekee makadirio ya juu na kipato chako ukiwekee makadirio ya chini.
6.Kama unataka kufanya biashara na huduma ambayo kuna wengine wanafanya, hakikisha biashara yako iwe na ubora wa hali ya juu ukilinganisha na watu wengine, na ujue wanakosea wapi na utafanya nini cha tofauti la sivyo utakuwa nyuma yao milele kwani kinachowavuta watu kuja kununa kwako ni utofauti kati yako na wapinzani wako na sio tu kwa kuwa bidhaa unayo.
7.Fanya utafiti sokoni kujua watu wanazichulia vipi bidhaa au huduma unayotaka kutoa ili kuweza kujua wapi unakosea na kujirekebisha mapema iwezekanavyo ili kuendelea kutengeneza mahusiano mazuri na watu.
8.Hakikisha jina la biashara yako linamvuto na kukubalika katika jamii husika. Pia Jihusishe na watu mbalimbali walioendelea katika ujasiliamali ili uweze kupata mawazo mbalimbali na mbinu mpya za kuweza kufanikiwa katika ujasiliamali.
9.Andika! Mali bila daftari huisha bila habari. Daima tunza kumbukumbu zako katika maandishi
10.Tafuta kitu kitakachokuwa na ushawishi wa hali ya juu kwa wakati huo katika eneo husika, ukitumie kama njia ya kujitangaza. ukifanikiwa katika hilo basi utajijengea channel kubwa na watu wengi watakujua na hiyo itakurahisishia safari ya kufahamika kwa biashara yako.

...ukimkuta kalala huyu unaweza kudhani ni chatu
Shikamoo binamu yangu jamani
Hahhhah binamu sasa umewaza nini hapo
bora wewe unakimbia yanaisha,mie ntaota kabisa
Busu la kiarabu lipoje hilo binamu...leo ni furahiday, kama huwezi kunipa Hi basi nipige mabusu ya kiarabu na kama umelewa basi nipige mabusu ya Kifaransa na usijali maana umeeleza kwenye Je Wajua kuwa ukipiga mambo yote hukumbuki, na sitakukumbushia.
Shikamoo msalimie anko wangu Lyon Lee
Ubarikiweee sanaUSIANZISHE BIASHARA KABLA HUJAFANYA HAYA KUMI.
1.Fanya utafiti wa kutosha juu ya biashara unayotaka kuazisha sio tu kwa kuwa kuna mtu unayemjua amefanikiwa kutokana na biashara hiyo. Pia hakikisha unajua ni nini utakifanya endapo biashara hiyo itaanguka ghafla.
2.Uwe tayari kufanya maamuzi magumu! Daima kuwa mtu wa kuthubutu na usiogope hasara kwani mafanikio huanza kwa taratibu na hasara ni njia moja wapo ya kujifunza na kuendelea mbele katika biashara.
3.Mafanikio huanza kwa kiasi kidogo cha fedha, usiache kuthubutu kwa kuwa tu, hauna mamilioni ya pesa ya kuanzia kama mtaji. Siku zote hakikisha una fedha za dharula na kamwe usitumie fedha ya mtaji kwa matumizi mengine
4.Jitahidi kadri ya uwezo wako kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambayo yatapelea kuharibu mtaji wako ulioanza nao.
5.Unapokuwa unafanya mpango mkakati wa fedha jitahidi matumizi yako uyawekee makadirio ya juu na kipato chako ukiwekee makadirio ya chini.
6.Kama unataka kufanya biashara na huduma ambayo kuna wengine wanafanya, hakikisha biashara yako iwe na ubora wa hali ya juu ukilinganisha na watu wengine, na ujue wanakosea wapi na utafanya nini cha tofauti la sivyo utakuwa nyuma yao milele kwani kinachowavuta watu kuja kununa kwako ni utofauti kati yako na wapinzani wako na sio tu kwa kuwa bidhaa unayo.
7.Fanya utafiti sokoni kujua watu wanazichulia vipi bidhaa au huduma unayotaka kutoa ili kuweza kujua wapi unakosea na kujirekebisha mapema iwezekanavyo ili kuendelea kutengeneza mahusiano mazuri na watu.
8.Hakikisha jina la biashara yako linamvuto na kukubalika katika jamii husika. Pia Jihusishe na watu mbalimbali walioendelea katika ujasiliamali ili uweze kupata mawazo mbalimbali na mbinu mpya za kuweza kufanikiwa katika ujasiliamali.
9.Andika! Mali bila daftari huisha bila habari. Daima tunza kumbukumbu zako katika maandishi
10.Tafuta kitu kitakachokuwa na ushawishi wa hali ya juu kwa wakati huo katika eneo husika, ukitumie kama njia ya kujitangaza. ukifanikiwa katika hilo basi utajijengea channel kubwa na watu wengi watakujua na hiyo itakurahisishia safari ya kufahamika kwa biashara yako.
Yaan numbii majuzi kati usiku habari na hoja nimekuta story ya nyoka black mamba sijui mtu anamtaka si nikafungua uzi kusoma nakuta mapicha nilipataje shida usiku kutaka kwenda kukojoa jamani nahisi nikishusha mguu huyo hapo ananitambaa nipo kitandani naogopa kiumbe nakiogopa kuliko chochote
Nakuonaa kabisaaabora wewe unakimbia yanaisha,mie ntaota kabisa
Hata mm sijamuona kitambo,labda kabanwa na majukumuWewe bwana ebu niachie shemeji yangu utatumiwa na shululu mzee wa malori Mgaa gaa na upwa nimemmiss mm hivi yupo humu jf mbona simuoni jamani