Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tamu kama anko anatafutaa kitumbuaAcha kabisa halafu unayekojozana nae unampenda jamani kukalana raha
Tamu kama anko anatafutaa kitumbuaAcha kabisa halafu unayekojozana nae unampenda jamani kukalana raha
Mzee mimi nipo tu, napambana na maisha....salama sana mdau, Ijumaa imekaribia. Michakato inaendaje mdau wa jukwaa la kufikiri (intelligence)
...maelezo nitamuelewesha, muelekeze aje tuisheni center jirani na hospital ya mama Ngoma atanikuta hapo, atanikuta nimevaa tai nyekundu na mokasini nyeupe na suruali ya dengilizi shati limepigwa pasi na lina picha ya ndege kwenye mifuko halafu natafuna bazoka ina harufu ya kitunguu garlic

ya Iringa haya 😀Kama maharage ya mbeya au iringa
Mimi hapa utanifundisha!?..Nani huyooo?
Kule uwanja wa Samora.....Nipe location yake kwanza!..
Mbona unaitaka sana namba yangu we musee![]()
Sio njaa wapo laini sababu hawataki kufa peke yao wanataka wafe na nyie

umenikumbusha story ya jamaa flani aliitwa Adam Dom miaka ya 2004-6 hivi yule alokuwa na list!.. Ushawahi msikia!?...aliyeandika maneno haya ni wewe mama JJ!!!1 Duh, kumbe mjini kuzuri aisee, wewe uliyekuwa unaandika maneno ya adabu hadi unaweka na nukta kiulizo leo unataka picha ya kichwa cha chini.
Inabidi nami nitoke Lindi nije mjini wallah
Mefanya nini tena mama!!!...Una kesi na mm
Hahaha mzee mimi nina mitoto mitatu nyumbani hapa, ntakuwaje na neno na vijana wangu hawa tena ? Ndiyo umri wenyewe huuu. Mimi nshatoka hadi mviAu una neno ?
Jamani pole sana kwa ajali baeNilikua mnywaji kwelii ila nilipata ajali nikasema siji kutumia tena!..
Daaah 2005 na 2006 palibamba sana.Dah hapo palifulia, sijui kama panalipa bado!.
Yaaan ndo maana shetani alinikutanishaga na anko kabisaaa...
Hivi shetan yupo jukwaa lipii
atakuwa lile la chini