MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Naona umefurahi saana
Naona umefurahi saana
....kuna mgahawa upo karibu na keep left ya samora, mishkaki na chipsi ya nguvu, nyama nilikuwa nakula kwa uangalifu, Iringa huwezi jua unaletewa nyama gani
We vp unaongea na nani
Anko mbona hutaki shikamoo sasaNaona umefurahi saana
Timu gani hiyo,Honestly, wanajitahidi kutengeza vizuri hasa kwa watu kama mimi ambao we want our stuff well done, afu sauce yao ni balaa pia. Nilienda miaka hiyo nachezacheza mpira, fyi

Anko wangu ana akili sana na kwake anakwambia hakuna raha ya kupiga 2 in 1 yaan mama na mwana ...Naona umefurahi saana
Na chini binamu anapendaaHahaha
Halafu binamu ww na anko malcom mnapenda nyama kama mm
Ndo mnamsutaa auAkikujibu uniite naona mapenzi yameshaanza kumvuruga
Nyama siku hizi nimeacha kula kama zamani. Siku hizi maji na mboga za majani tu.Hahaha
Halafu binamu ww na anko malcom mnapenda nyama kama mm
Sijawahi kukataaa shikamoo mimi.Anko mbona hutaki shikamoo sasa
Anko nani huyooo ?Anko wangu ana akili sana na kwake anakwambia hakuna raha ya kupiga 2 in 1 yaan mama na mwana ...

Oooh sababu ya uzee ankoNyama siku hizi nimeacha kula kama zamani. Siku hizi maji na mboga za majani tu.
Hapana jamaniNdo mnamsutaa au
Na chini binamu anapendaa
Aaaah, sikukataa bwana.
Anajijuaa kabisa na like kashaweka ...@obeAnko nani huyooo ?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaaah, sikukataa bwana.![]()
![]()
Salamu hiyo huwa inawafanya watu waogope na wasiwe huru kwenye kuzungumza bwana. Ndiyo maana humu ndani mara chache sanaaa
.....hizi salamu unaweza kukuta mjadala unashindwa kunoga sababu ya hizi shikamoo au kama watu wanavyomuitaga anko wango Lyon Lee 'Mkuu' mjadala ukishaanza na utangulizi wa maneno ya namna hii unakosa ladha fulani hivi