Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahahah sio sanaHivi vitu vikianikwa vinapoteza ladha
Hahahah sio sanaHivi vitu vikianikwa vinapoteza ladha
Mkuu naomba leo unipangulie wale watu wawili please, mchaga na lemba jekundu yani mpaka ukiaga usiku wawe wanakuchungulia kwa mbaaali....... Sawa????safi, jana nilionazako za kutosha kule kwenye uzi wangu wa Camilo..thanx sana be blessed!!
Nimeamka salama sijui wewe?Salama, umeamkaje braza?
Hivi hapigi picha bila kubinua mgongo????Nguo zinamuwasha
![]()
...........
wapi huko wajameni, mukani-tagMkuu naomba leo unipangulie wale watu wawili please, mchaga na lemba jekundu yani mpaka ukiaga usiku wawe wanakuchungulia kwa mbaaali....... Sawa????
Tulia tu.... Kama ipo ipo tu na kama hakuna usipoteze muda![]()
![]()
![]()
basi siku nyingine nitakushirikisha dada.
Salama kabisa brother.Habari familia
Acha wivuHivi hapigi picha bila kubinua mgongo????
supu supuni![]()
Luk y'a Gardner & Giggy
.....................
Nzuri.......Habari familia
Kama hiviHivi hapigi picha bila kubinua mgongo????
Ngoja mpambano ukianza ntakutag, siku hizi umepotea sana sijui uko wapi?wapi huko wajameni, mukani-tag
Basi ukirudi nisaidie kuongea naye.Tulia tu.... Kama ipo ipo tu na kama hakuna usipoteze muda
Poa my wiiMorning wifi, mi siku zote huwa ni wa mwisho kuamka saa zangu huwa zipo nyuma yenu kidogo...
Hapana twist ni juice ya machungwa ila ni brand ya kilimanjaroBia??
Mie mzimaMorning shem! Mzima wewe?
Huu mchezo hauhitaji hasira hata bila kubinua mbona linaonekana tu (kama lipo lakini)Acha wivu
Na wewe binua wako
![]()
![]()
![]()
![]()
...................