Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Team kukojozanasupu supuni
...........
Team kukojozanasupu supuni
mambo nayo yamekuwa mengi ndugu yangu, ila humu ndo nyumbani hata nikipata dk5 lazima nije niweke chata ndo nisepe, hapa ndo ninapomilikiwaNgoja mpambano ukianza ntakutag, siku hizi umepotea sana sijui uko wapi?
Nimekwambia muache tu arudi mwenyewe, manake hata ukimbembeleza kama hataki ni kazi bureBasi ukirudi nisaidie kuongea naye.
Huu mchezo hauhitaji hasira hata bila kubinua mbona linaonekana tu (kama lipo lakini)
Nilidhani mnashauriana kupiga bia moja asubuhi ushamba huu nao anasumbua sanaHapana twist ni juice ya machungwa ila ni brand ya kilimanjaro
Aghrrrrr.Nimekwambia muache tu arudi mwenyewe, manake hata ukimbembeleza kama hataki ni kazi bure

Pamoja sanaamambo nayo yamekuwa mengi ndugu yangu, ila humu ndo nyumbani hata nikipata dk5 lazima nije niweke chata ndo nisepe, hapa ndo ninapomilikiwa
Aisee hii itanishinda.Just![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
and relax
Basi endelea kupiga jarambaAisee hii itanishinda.
Siwezi kuona mtoto anapita hapa nimkaushie tu.
Hahahaha.Aisee
Kanifurahisha lugha aliyotumia kufikisha ujumbeHahahaha.
Captaiiiiiiin!!!
In bongo everythin is newsHahahaha.
Captaiiiiiiin!!!
Kivuli kimemuumbua.