Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Hahahahahahahaha nakutania tu usikonde[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sijui nikipigwa Ban na hii ntakimbilia wapi mimi?
NOOO, usifanye hvyo dada ntakupa likes za kutoshaaaaaaa
Hahahahahahahaha nakutania tu usikonde[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sijui nikipigwa Ban na hii ntakimbilia wapi mimi?
NOOO, usifanye hvyo dada ntakupa likes za kutoshaaaaaaa
Kumbe sio ndefu, sasa ole wako uendelee kunibania likes uone kama na mi sisababishi upigwe ban na kwenye hii
Jamaa ni wazinguaji balaa, pole sana Mkuu.Ndo hivyo bitoz mkongwe kanisababishia nikalambwa Ban.
Yani kisa nmemjibu "nmekuelewa mrembo"
Sasa hapo nmefanya kosa gani?
tuko sasa tunajenga taifa mkuuWapi huko?
Asubuhi hiii??ukiwa unafanya kazi raha sana.sasa ninakwenda lunch waooo.
swissme
Hii Ban ya tatu sasa kupata hapa Jf.Jamaa ni wazinguaji balaa, pole sana Mkuu.
[emoji12] [emoji2] [emoji23] Mkuu kama umeita mtu mrembo na sio mrembo hapo ndo kosa lenyewe. Epukana na watu wanaokulenga wewe badala ya point uliyotoa, ukimjibu vzur anaanza kulia na mods.Ndo hivyo bitoz mkongwe kanisababishia nikalambwa Ban.
Yani kisa nmemjibu "nmekuelewa mrembo"
Sasa hapo nmefanya kosa gani?
Kwani mimi najua jinsia yake?[emoji12] [emoji2] [emoji23] Mkuu kama umeita mtu mrembo na sio mrembo hapo ndo kosa lenyewe. Epukana na watu wanaokulenga wewe badala ya point uliyotoa, ukimjibu vzur anaanza kulia na mods.
Pitia uzi flan wa Bitoz jinsi ya kuinjoi Jf bila shaka upate ka mwanga zaidi
Hata mimi nimeshangaa!!Khaa umemsahau manuu
[emoji1] [emoji1] mimi nikiwa online lazima nimwage likes za kutosha..Sana mi namuangalia tu, akinibania ajue kabisa atasahau [emoji106] [emoji106] toka kwangu kwa acc zake zote
Cc Johnax
Sio kusoma bure...mmwage na likes za kufa mtu[emoji12] [emoji2] [emoji23] Mkuu kama umeita mtu mrembo na sio mrembo hapo ndo kosa lenyewe. Epukana na watu wanaokulenga wewe badala ya point uliyotoa, ukimjibu vzur anaanza kulia na mods.
Pitia uzi flan wa Bitoz jinsi ya kuinjoi Jf bila shaka upate ka mwanga zaidi