Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Bia??Mie niko poaaaa...
Pole aisee me bora nihamie kwa twist tuuu
Bia??Mie niko poaaaa...
Pole aisee me bora nihamie kwa twist tuuu
Salama kabisa, habari ya wewe?Za asubuhi wakuu
Hi alarm ime niamsha ka tuna ugomvi vile

Hanaga shida wifi yangu wa ukweliNakupendaga bure...
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Morning shem! Mzima wewe?Morning all
Tupa kuleeeeNakuaminia sio km yule nanihii fake KAPUKU
............
Salama, umeamkaje braza?Habari zenu wakuu
Ndo hivyo bitoz mkongwe kanisababishia nikalambwa Ban.Pole nilifikiri ni mgeni
Itakuwa ulizinguana na mkongwe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Morning braza!Good moniiii
Umempa bila kupepesa macho wala kumumunya manenoUnalipia hii JF au una hisa humu? Unaelewa maana ya chit chat mkuu? Acheni watu wafanye yao. Kuna majukwaa mengi yenye mambo ya maana mkuu. Nenda huko!

Pole hiyo ban ni ya muda gani?Baaada ya kupigwa BAN sasa nimerudi kivingine.
MAKAPUKU WENZANGU NILIWAMISS SANA..
Ila sasa tuko pamoja
~Jonax
View attachment 346787
Alaf hii avatar nmeichukulia kwako.Namuona mgeni Johnax
Karibu sana mkuu
Nimekuona umeweka saini
Avatar yako hii ya City boys wakongwe watakufa kwa njaa![]()
Usiiache kamwe
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Wapi huko?bado makapuku mmelala twendeni tukajenge Taifa.
swissme
City boysNamuona mgeni Johnax
Karibu sana mkuu
Nimekuona umeweka saini
Avatar yako hii ya City boys wakongwe watakufa kwa njaa![]()
Usiiache kamwe
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Maisha hayaPole nilifikiri ni mgeni
Itakuwa ulizinguana na mkongwe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............

Duuuu pole sanaNdo hivyo bitoz mkongwe kanisababishia nikalambwa Ban.
Yani kisa nmemjibu "nmekuelewa mrembo"
Sasa hapo nmefanya kosa gani?