Makapuku Forum

Makapuku Forum

HATIMAE TOFAUTI ZILIZOKUWEPO KATI YA MEEK MILL NA DRAKE ZIMEFIKIA KIKOMO

Wasanii ni vioo vya jamii, kila wanachokifanya huakisi kile kinachoendelea kwenye jamii.

Ugomvi na kutoelewana ni sehemu ya Maisha japo tofauti zozote huweza kumalizwa kwa njia tofauti ila cha msingi ni kudumisha Amani na Upendo.

Drake na Meek Mill walikua ni kati ya watu wenye tofauti kubwa na hata watu kutabiri kuwa hawatokuja kupatana kamwe.

Ila hii imekua tofauti baada ya wawili hao kupatana Live mbele ya kadamnasi ya watu waliohudhuria Show.

ningendako nimekukumbuka mm haswa nilivyoona hii habari ya Drake uko usukumani nani amekuteka wakuachie kidogo
20180909_170120.jpeg
 
He he achana na maisha ya jf watu tunafanya kazi za nyumbani ukiambiwa huyu ndio shunie utakataa
Hapo hawezi kuvumilia atapakimbia muda sio mrefu
Hata mimi nimemshangaa ila nimeona nikaushe tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍[emoji3603][emoji1549]‍[emoji3603][emoji1549]‍[emoji3603][emoji1549]‍[emoji3603]
Anajichetua tu hapo
Yeye anafikiri atampikia mumewe tu
 
Back
Top Bottom