Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahhaha mm sinaga limbwata mapenzi yangu ni limbwata tosha ninavyopenda nyama sasa umenitamanishaje cc @wick
That's the spirit shemeji. Karibu sana. Tena tutakuchinjia dume la ng'ombe (iyagamba) kuonyesha heshima na jinsi tunavyokukubali. Tutunzie tu kijana wetu na usimharibu na mambo ya limbwata pulizi
 
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii moto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii makapuku haizimiiiiiiiiiiiiiiii
tapatalk_1534529665683.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom