Asantee mrs info
Walee wa motooooo waleeee
Sawa matunda gani yanapatikanaYeruuuuu...bei sijui kaka
![]()
![]()
![]()
![]()
duuh
Sawasawaaa
Hutak miamala?Ndiwooooo
Shikamoo ya kijijini kwenuHutak miamala?
Hutak miamala?




Miamala hata kama sipo jf si inaingia 


nikachuniwa nikasema huruma yangu masikini imeniponza shunie mm najuta basi angejibu tu hata sawa nikamwambia nikasema nimekoma tena nilituma na link masikiniMaparachichi na ndiziSawa matunda gani yanapatikana
Sawa dadake nitakuwa nakuja na manasi ndio nachanganya kumbe huko mambo yako vizuriMaparachichi na ndizi
Aaa sana mambo ni hiviSawa dadake nitakuwa nakuja na manasi ndio nachanganya kumbe huko mambo yako vizuri



Miamala hata kama sipo jf si inaingia
Kipindi kile jf imefungiwa tumeahamia KT kwa wakenya nikasema no yako sina nikakumbuka nikupe taarifa nitakupaje imebidi niingie insta nimtumie text pacha wako nikamsalimia nikamwambia akwambienikachuniwa nikasema huruma yangu masikini imeniponza shunie mm najuta basi angejibu tu hata sawa nikamwambia nikasema nimekoma tena nilituma na link masikini
pole
Kama vile union ...pm zangu unavungiaa tuHeeee!!!
Kaka huyoooooo