Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Marahaba mzima?Shkamoo
Marahaba mzima?Shkamoo
Mzimaa na wewe ulipotelea wapi kakaMarahaba mzima?
Nipo dadangu majukumu yamenibana sana mpaka masahau kuwatafuta ndugu nisamehe bureMzimaa na wewe ulipotelea wapi kaka
We ni msukuma nini mkuuMuda wa Kitimoto roast ,ugali Mkubwa km NYUMBA
Aiseee Kila nikiingia humu huwa sielewi nini kinaendelea!
Msije kuwa mnaunda kikundi cha kigaidi mumpindue Max
![]()
![]()
MwadilaNilikuwa sijui. Kumbe haya magwanda ya security navaa ya bure tu. Yalikuwa yamechaanza kuchakaa anyway.
Kwema lakini?
Vipi kulima kwenye majaruba ya mpunga kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa 10 jioni? Na kuteka maji? Na kupasua kuni?Kwenye kupika tu mseme kingine nitapika ugali mgumu anaokulaga msukuma wangu
Vipi kulima kwenye majaruba ya mpunga kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa 10 jioni? Na kuteka maji? Na kupasua kuni?








Ng'wadila. Ulimhola?Mwadila
Umenitenga dadake hivi kutoka siku mbili tu hutaki hata kuniwaooo kakako kweli au upendo wa wengi umepoa?Nimefanyaje tena jamani
Wasiwasi wako tu ngushiAiseee Kila nikiingia humu huwa sielewi nini kinaendelea!
Msije kuwa mnaunda kikundi cha kigaidi mumpindue Max
![]()
![]()
That's the spirit shemeji. Karibu sana. Tena tutakuchinjia dume la ng'ombe (iyagamba) kuonyesha heshima na jinsi tunavyokukubali. Tutunzie tu kijana wetu na usimharibu na mambo ya limbwata puliziNitajitahidi jamani si nimependa


