Makapuku Forum

Makapuku Forum

...mende ana ubongo kichwani na mwingine matakoni (kama hujalewa utaelewa), unaongelea ubongo upi sasa maana kama ni bichwa lisiloota nywele au ni hili lenye nywele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu washalewa balimi hajua kama weekend imeanza leo
 
Tena ilibaki kidogo niwe wa kwanza kupleji,
Nashukuru simu iliita lakini bila hivyo ningefedheheshwa sana!

...unaweza kupleji 50k umekaa kiti cha mbele, wa nyuma kabisa anatoa boksi zima 1m, wanakamati wanakuhamisha kutoka kiti cha mbele hadi cha nyuma karibu na mlango
 
Back
Top Bottom